Recent content by Caesar1

  1. C

    CV ya Issa Ponda

    Acha usenge maaskofu wameingiaje kwenye dini yenu?shetani mkubwa!usipotoshe
  2. C

    Gen. Ndomba amrithi Shimbo

    ndo hivo!mnadhimu mkuu kwa ukubwa wa jeshi letu lazima awe luteni kanali na ni mmoja tu nchi nzima,kwa hiyo lazima apandishwe na niyeye pekee mwenye cheo hicho!Nampongeza sana!
  3. C

    Kisutu Sekondari

    hilo zoezi kijeshi huliita kubeba dunia!
  4. C

    Vifo vya Comoro na Darfur: Hivi JWTZ wanafundishwa kuogelea??

    kama huna cha kuchangia then keep quit!
  5. C

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    wewe ni pumbafu wizara ya Ulinzi inahusikaje? hiyo ni wizara ya mambo ya ndani, Usipotoshe waungwana na usijadili kama hata wizara huifahamu political robbot!
  6. C

    Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

    nzuri ila check yasije yakaanzia kwako!
  7. C

    No Kikwete, Meles Zenawi was a dictator!

    kwa nchi kama yetu!democracy sio nji sahihi! tunahitaji dictatorship ya watu wachache walioaminiwa na watu kwa maslahi ya jamii,take example of China regime
  8. C

    JK alidanganya- mishahara sio 15-20% increment

    Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%
  9. C

    Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

    mie nakuona mzushi!Ila unanipa somo kwamba mawakala wa vyama vyote walikula rushwa!so suala hili bado tatizo pande zote?duh!
  10. C

    Edward Lowassa: Bora kuwa na Rais kama Kagame ili tuendelee

    Lakini alitekeleza kwa khali ya tofauti ukilinganisha na wengine!wewe ulifanya tofauti na wanakijiji wenzio?nini hakieleweki sasa!
  11. C

    Edward Lowassa: Bora kuwa na Rais kama Kagame ili tuendelee

    Do you mean angemwachia Idd Amin aichukue Kagera?matokeo ya vita yalileta anguko la uchumi japo kuwa pamoja na sera yake ya ujamaa!
Back
Top Bottom