No Kikwete, Meles Zenawi was a dictator! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No Kikwete, Meles Zenawi was a dictator!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Sep 2, 2012.

 1. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa Dr. JK, naomba kutofautiana na wewe! Meles Zenawi was one of the dictators Africa continent has ever had!

  Ndilo tatizo la viongozi wa Africa kulinda tawala dhalimu highly violating basic principles of human rights. Ni kama Amin alivyowahi kuwa Mwenyekiti wa OAU (AU now), what a shame was!!!.

  Wanaomlilia ni wale walionufaika na udikteta wake.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wapo madikteta wabaya na wale wanaosimamia mambo ya msingi ya nchi zao, kwa wale wasio tii amri kutoka marekani siku zote wataitwa wabaya sana,,, watu kama Mugabe, Zenawi, Hugo chavez na Mohamed Ahemed Nejjad...

  Hawa siku zote Marekani na wenzao wanaokunywa damu za watu watasema ni wabaya lakini ukienda nchi hizo wanazoongoza utashangaa sana maendeleo yaliyopo ukilinganisha na hawa wasio madikteta kama hapa Tz..hali ni mbaya na dhoofu kabisa...
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mkuu lengo hasa la JK ni kusafiri. Kwake haijalishi sana anachokifuata, alimradi kaondoka nchini. Sad to say!!
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Dikteta ni wale ambao wanatumia muda mrefu kusafiri badala ya kushughulia matatizo ya ndani Kama madaktari walimu kuuza rasilimali za nchi kwa faida ya watu wachache Pamoja na kutumia vyombo vya dola kukandamiza upinzani achilia mbali kuingia madarakani kwa kutumia Tume ya uchaguzi kukuibia kura hao ndio madikteta tunaotakiwa kuwa zungumzia sasa meles zenawi alikuwa hivyo?

  Kwahiyo hata mwenyekiti wa Chama cha mabwepande ni dikteta
   
 5. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,720
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180

  Please please jihadhari na kauli zako, Tz ya leo yahitaji mtu kama zenawi sio kama JK ambaye all the time hajui ni kwa nini.
   
 6. A

  Aristolicius Senior Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  To the Americans and their friends EU anyone who does not obey their orders dumbly, who does not give them a chance of exploitation is a dictator, so it depends on how u think remember even Nyerere was sometime called a dictator, let us stop just believing on what Europeans n Americans medias want us to believe.

  Let us evaluate things critically,how is zenawi a dictator? Yes he was in power 4 long tym but do you know what is limitation of terms in their constitution?

  Jamani watanzania tujifunze kuangalia vitu with keen eye,sio kila siku kujadili kauli za watu
   
 7. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,720
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Mtu anayeacha mambo kuharibika ni mbaya sana maana anua kwa miaka mingi kuliko dikiteta kama Mkapa (Wivu wa Kijinga) lakini mtu kama JK ni mwema sana kila kitu yeye hahusiki wala hatakiwi kufuatilia anawashangaa watu yaani hajui kwa nini ni maskini.

  Mtoa mada think twice, Dikiteta anayesemwa na western ni kuwa anabania fursa zake za kunyonya. Ethiopia inatoa zaidi ya megawati 8000 za umeme wana ndege nzuri kuliko nchi nyingine, wanauza kahawa marekani kwa wingi. Wewe uliye na Rahisi mdemokrasia una nini?
   
 8. a

  anney Senior Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Who is a Dictator?

  1. a
  person exercising absolute power, especially a ruler who has absolute, unrestricted control in a government without hereditary succession.
  2. (in ancient Rome) a person invested with supreme authority during a crisis, the regular magistracy being subordinated to him until the crisis was met. (Source. Dictionary.com)
  3. a ruler with total power over a country, typically one who has obtained control by force (source: Online Oxford dictionaries)
   
 9. c

  chiborie JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Kua na rais wa type JK ni zaid ya hasara kwa taifa. hivi makamu wa rais, wazir mkuu hawawez kuwakilisha? kila trip wewe?
   
 10. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,097
  Likes Received: 11,234
  Trophy Points: 280
  dictator anaehtajika na tz
   
 11. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280


  Samahani hebu tuwekee udikteta wa Zenawi Jamvini nasi tupate kumju zaidi,mimi nilikuwa najua Mengistu Haillemariam yule aliyepinduliwa na Zenawi ndiyo alikuwa Dikteta akiwabagua makabila mengine ya Ethiopia na kufanya Kabila lake la AMHARA kuwa miungu watu ndani ya Ethiopia achilia mbali ubabe wake uliosababisha vifo vya maelfu ya Wa-Eritrea kwenye migogoro ya mipaka na kuivamia kimabavu iliiwe sehemu ya Ethiopia.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu hakuna cha Marekani wala nini Zenawi alikuws Dikteta wa viwango vya juu duniani
   
 13. C

  Caesar1 Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nchi kama yetu!democracy sio nji sahihi! tunahitaji dictatorship ya watu wachache walioaminiwa na watu kwa maslahi ya jamii,take example of China regime
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Yes mkuu alikuwa dictator lakini mwenye nia njema ya kusukuma mbele maendeleo ya nchi yake, hakuruhusu mijadala mirefu isiyoisha ya kisiasa ambayo inaitwa demokrasia japo inachelewesha maendeleo. Na ndiyo maana hatutasikia kuwa Meres alificha pesa wapi sijui wapi, he was a benevolent dictator.
   
 15. M

  MTK JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu, you either want to get things done and the country moving forward; lazima uwe dikteta kidogo ama uache nchi idumae watu waitafune kama mchwa kulia na kushoto uitwe DHAIFU, it is one way or the other; you can not eat your cake then have it at the same time!
  Fanya utafiti kidogo kuhusu Rwanda ya Kagame; Ethiopia ya Meles Zenawi au Congo Brazzaville ya Dennis Sassou Nguesso ndio utaona tofauti ya aina mbili hizo za utawala!
  Tukiendelea na sera za oooh wamiliki wa Dowans siwajui, Wauza mihadarati nawajua lakini nawaomba waache! Waliochukua pesa za EPA wazirudishe tutawasamehe! Tanzania ina raslimali nyingi lakini sijui kwa nini watu wake ni maskini kiasi hiki! Mkataba wa rada haukuwa na rushwa! hatufiki ndugu yangu!!
   
 16. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Dikteta kwa context ipi? Unamlinganisha Zenawi na nani? Unaijui Ethiopia kama nchi? Je wazifahamu changamoto Zenawi alizokabiliana nazo za Eritrea, Sudan, Djibout, Yemen na of coz Somalia?
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  pole sana mleta thread....humujui zenawi na hujui kwa nini waethiopia wanalia sana wa uchungu juu ya kifo cha huyu mtu.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  amekwenda kwenye mazishi tayari?
  Zitto was a big fun of Zenawi, na amekwenda kumzika pia.
   
 19. M

  Moony JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani wnadamu hatuna wema.
  Wiki hii tu kuna thread humu JF munataka madikteta wawatawale, mnasema bora madikteta kuliko JK, sasa mna...... ah inachosha kufikiri contadictions za mwanadamu
   
 20. M

  Moony JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Kuweni rational in thinking. It is IMPORTANT, NECESSARY if not IMPERATIVE for him to attend the funeral. Just put yourselves in his shoes ndo mpige kelele.
   
Loading...