Jioni hii nikiangalia
taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa
akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi
wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo
kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.
Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila
mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e
3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya
kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka
mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko
Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko
kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo
hakijengwi.
Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya
'Usiibe'
Kama 'wasomi' wenyewe tunaowazalisha vyuoni ndiyo type hii tuna kazi kweli kweli! Mbona huyu haeleweki anamaanisha nini? Kujieleza kwa kiswahili tu hivyo, je ingekuwa lugha ya kikoloni ingekuwaje? Kuna kitu hapo? Inawezekana alikuwa na ujumbe aliotaka jamii iufahamu lakini the presentation was extremely poor! Pole.
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.
Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.
Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.
Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'

Askofu Malasusa sio muuaji, na unamfananisha na nani? unaijua historia ya kuchaguliwa kwake baada ya kutokea mvutano mkubwa wa maaskofu kutaka kiti hicho? Mimi ni mLutheri namjua sana wewe mwaga data au usepe
Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.
Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.
Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'
Malasusa hakuwepo kwenye kinyang'anyiro hicho, walikuwepo wengine ambao walifungana na kusababisha mtafaruku wa kundi hili linamtaka huyu na hili linamtaka yule ndio akaongezwa Malasusa, akamaliza ubishi. KKKT ni kanisa langu na Malasusa kamaliza Gomvi / Malumbano mengi km utakumbuka Jimbo la Same /Mwanga Jimbo la Meru, Jimbo la Dodomakaka mi nakumbuka, wakati anachaguliwa nikiwa form four, palitokea shida kubwa sana ambayo ilipelekea kuongezewa muda kwa mtangulizi wake Dr. S Mushemba. Nimejitahidi kutafuta hoja ya mleta hoja hata kwa akili za kuchanganya na za mwenzako ila bado naona chenga. Inawezekana huyu ndugu ana point ila hajui namna ya kupresent au inawezekana pia ni kwa sababu ya hasira au amepewa taarifu shalow
Hata husomeki,Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.
Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.
Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'
sioni la kuchangia maana sijaelewa hata mleta mada anamaanisha nini! Wasomi wa leo hata kujieleza ni shida! sijui ni matokeo ya shule za kata?
Hapa nadhani uelewa wangu ni mdogo sana, huwezi amini bado sijakuelewa