Kisutu Sekondari

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
423942_352724638141588_221165060_n.jpg
 
baada ya hapo watasikia maumivu ya kichwa. kama ni adhabu, sio nzuri.
 
Ingekuwa enzi zileee, tungesema mwalimu aliyetoa adhabu hiyo inawezekana ametoka JKT hivi karibuni.
 
Hapa mwalimu alikuwa na wazo zuri tu, unajua vijana wengi IQ zao zimehamia maeneo ya kusini hivyo alitaka akili yote iliyohamia maeneo hayo irudi kichwani. Bila shaka huo sio ule wakati walimu walipokuwa wamegoma. Tehetehetehetehetehete.
 
Back
Top Bottom