....hivi!!! mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba zaidi ya goli 4 ilikuwa ni lini????; jamani tukumbushane bwana miaka inaenda na deni linaongezeka; kuna 5, kuna 6 duh!!!!!!!
Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1966!
....hivi!!! mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba zaidi ya goli 4 ilikuwa ni lini????; jamani tukumbushane bwana miaka inaenda na deni linaongezeka; kuna 5, kuna 6 duh!!!!!!!
dah!!! kaazi kwelikweli!Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1966!
1.young african
2.coastal union
3.simba sports club
4.african lyon
5.azam fc
6.ruvu shooting.
Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua nafasi mojawapo na ikawa kweli.AZAM Hawatakuwepo kwenye nafasi hizo tena kutokana na wao kujiingiza kwenye siasa kama za kina rage.

Mwaka gani Yanga haijafanya usajili wa kutisha?? Combination za hatari?? Mazoezi ya kijeshi??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums