Recent content by Cacs

  1. Cacs

    JamiiForums Tanzania Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

    Huu ugonjwa ni wa wengi. Mi hata kupokea najioneaga tabu inaita hadi inakata alafu baadae nikijiskia natuma sms au napiga. Wakati mwingine nawazaga niuze simu ili nisipigie watu
  2. Cacs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanikaribisha kwake, nimelala naye mpaka asubuhi ila mzigo kagoma kunipa

    Likuepukalo lina kheri nawe
  3. Cacs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, bikra ya mwanamke inaweza kutoka bila damu?

    Inawezekana kabisa
  4. Cacs

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

    Ipoje mkuu
  5. Cacs

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Ila we jamaa...duh...mazalau,mashishi,kamirika...dah
  6. Cacs

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Ndivyo ilivyo
  7. Cacs

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

    We unamjua mhindi vizuri wewe...huingii kizembe kwenye biashara yake wana dawa zao hatari. Unaweza kuingia kwenye duka lake km nia yako mbaya unadondoka hapohapo. Washirikina hatari
  8. Cacs

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni Amir jeshi Mkuu au Amirat Jeshi Mkuu?

    Halina uume wala uuke...sio ukike[emoji38]
  9. Cacs

    JamiiForums Tanzania Ole wao wafanyao karamu kwenye misiba ya wenzao

    Kila nafsi itaonja umauti
  10. Cacs

    JamiiForums Tanzania Kusubiria ahadi za Mungu inachosha bora mtu ufanye maamuzi magumu

    Dhana ya kumuomba Mungu sio kukaa na kusubiri john. Mungu anakuongoza tu kufikia kile alichokuandalia ila wewe inabidi uhangaike kukifikia.
  11. Cacs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]pole sana mkuu
  12. Cacs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo gani lilifanywa siri na mpenzi wako na baada ya kulifahamu ulichukua uamuzi gani?

    Nikisema atanijua. Ila alijitahidi kuficha kwa miaka mi5
  13. Cacs

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Queen Darleen Chalii

    Familia ya kiki, kila kitu kiki. Ila kama ni kweli ntafurahi sana
  14. Cacs

    JamiiForums Tanzania Naendelea vizuri baada ya kuonesha dalili zote Covid 19

    Pole sana
  15. Cacs

    JamiiForums Tanzania Siri ya kutofika CORONA Tanzania hii hapa

    Basi sawa
Back
Top Bottom