Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

Kweli kabisa, mbongo hata akidondosha au kuibiwa atasingizia chuma ulete. Ni uongo tu
bora angesema iyo pesa ilitoa kwenye droo na yeye peke yake ndio muuzaji hapo sawa ila kutoa kwenye kipochi,kwenda mpesa tayari kuna movement hapo. Kwa hiyo ni hakuna ushahidi wa moja kwa moja
Mie ntabisha had mwisho wa dunia! Haipogo
 
"Nikazama mfukoni nikatoa kitita cha elfu 60"

Nimeishia hapo hapo.
Kwani, kitita kinaanzia sh ngapi!?[emoji2][emoji2]
Shule wanafundisha kitu zaid ya kimoja huo ni uwingi tayr.

Hicho ni kitita kabisa mkuu.! Sema tu ni kitita kidogo tofauti na kitita cha 1m.
 
Kwanza kabisa niwape pole kwa msiba mzito wa rais wetu Jpm.
Binafsi nimehuzunika sana kumpoteza mtetezi wa wanyonge, mzalendo, mkweli, mchapa Kazi, mbunifu, mcha Mungu, jasiri.

Niende direct kwenye Mada,

Aisee nimekua nashangaa watu nikiwaomba chenji wanapata wasiwasi na kuniuliza, pesa yako haina miguu??

Wengine wamekua wakinyima chenji kabisa mpaka unakasirika na kuwaona wana roho mbaya.!

Ipo hivii, kuna eneo la stend nikiwa nimetulia nasubiri wateja waje, akaja dogo amempakia abiria kwenye boda.
Walisimama Karibu yangu na kuomba chenji ya elfu 10 nikasema ninayo ila ni elfu tano tano, dereva boda akasema hiyo hiyo.
Nikazama mfukoni nikatoa kitita cha elfu 60. Elfu 10, kumi zilikua 3 nyingine zilikua elfu tano tano tu.
Nikatoa elfu tano mbili nikampa ile elfu 10 yake nikaikunja na zile nyingine, kwa hiyo elfu kumi kumi nikawa nazo 4.
Hee, baada ya muda kidogo kupita nikaenda mpesa nimtumie mtu elfu 20.

Kuchomoa kitita changu nakuta elfu kumi aliyonipa siioni, niliikariri maana zangu zilikua mpya nahisi second au first hand kabisa kutoka zitengenezwe ila ile ten yake ilionesha imetumika zaidi.
Nilijisachi mpaka kwenye soksi nikavua viatu lkn wapi.

Nilishangaa sana, ile narudi nikamcheki aliposhuka yule jamaa, akawa hayupo na wakati hakuna bus limepita na abiria wengine walikuwa wamekaa kwenye banda la kungojea usafiri.

Nikaja kuconnect na jinsi walivyofika pale nikaamini walikuwa kitu kimoja maana walipofika walikuwa wanaongea kwa sauti ya chini kabla ya kunifuata, sikuwafikiria sana mi nikawa busy tu na smart yangu nafuatilia matukio ya msiba wa taifa.

Wanaonyima chenji nimeamini hawajipendei, imewapasa kufanya hivyo kutokana na mambo ya kihuni kama hivi.

Kama una kisa cha kuibiwa pesa kimazingara kama hivi, tunaomba ushuhuda na jinsi ya kuzuia hawa chuma ulete.!
Hii kitu ipo wakuu, Kama hujawahi kifanya biashara huwezi amini. Umewahi kujiuliza kwa nini ukienda kwenye baadhi ya maduka au biashara yoyote ile ukinunua na kupewa chenji KWA nini unawekewa chini au anakupa au anapokea kwa kutumia mkono wa kushoto? Acheni kupinga uwepo wa nguvu za giza. Siku zote wapingaji wa hivi vitu na watu wanaoishi maisha duni sana au ni kula kulala.
 
Huo msiba ndo uliokuonza.Achana na mwendazake
 
Sawa utakuja kuleta bandiko hapahapa....unless huko uliko hawajakupitia...usiombe upitiwe...ni hatari
Hakuna kitu km hicho ...kuna mshikaj hapanMoro ana maduka sana ya nguo ..bas kuna mwaka nikaenda naye Dar ..katika kuhesabu hela akagundua zinamiss 10000 kwa kila laki..akaniambia wangari kila nikifatantu mzigo nakuta kuna hela zinamis..nikaropoka tu nikamwambia wife anafanya yake akabisha balaa..nikamwambia we weka mtego utanuambia...mbona haikuzid wiki akanipgia sm...chuma ulete ni wiz wankawaida sana sana..shida zenu mnaamini san watu..usimuamini mkeo,mtoto,mdg wako ,mteja etc hata siku 1!
 
Siku moja mtu aliwahi kuniomba chenji Niko na kama 35,000/= mfukon nikatoa chanji nikasepa badae nimefika home nabadilisha trouser naisachi mfukon ili nitoe hela yan nikajikuta sina hata buku mfukon Nlitaka kuamin mambo ya chuma ulete ila moyo ukakataa nikaamin itakua nimedondosha tu huwa Nina tabia ya kuichanganya simu na hela mfukon ila sijawahi kudondoaha hela hata siku moja siku hiyo nafikiri nilifanya uzembe wakat natoa simu mfukoni.
Umeibiwa na vibaka kwenye bus au mtaani.
 
Hii kitu ipo wakuu, Kama hujawahi kifanya biashara huwezi amini. Umewahi kujiuliza kwa nini ukienda kwenye baadhi ya maduka au biashara yoyote ile ukinunua na kupewa chenji KWA nini unawekewa chini au anakupa au anapokea kwa kutumia mkono wa kushoto? Acheni kupinga uwepo wa nguvu za giza. Siku zote wapingaji wa hivi vitu na watu wanaoishi maisha duni sana au ni kula kulala.
Aisee una hukumu sana. Mimi nafanya biashara na haijawahi kunitokea hio chuma ulete. Na chenji nakupa mkononi kwa mkono wa kulia.
I guess naishi maisha duni na kula kulala ndio maana napinga.
 
Back
Top Bottom