kitu muhimu ni hisia zako tu kama alivyosema hapo juu somebody daudimtwale ....pia mwanaume usiwe jogoo kuwa na pumzi ya kwenda extra miles usiwe na haraka ya kushusha mzigo wako mapema peleka slowly pump inside outside till she cum then hapo shusha mzigo wako taratibu kwa maneno matamu na...
mapenzi ya mujini mujini hayo kaka ......inapendwa pochi tuuuuuu mengine ni mbwebwe tu.....chukua hatua ama kuendelea kuwa nae au kuchapa lapa kaka ....
pole mrembo, shukuru mungu kwa kila jambo, kuna wanawake au mabinti wanatafuta hata hiyo ndogo uliyonayo na hawaipati wamebakia kuchezea maji ya moto tu, tena usirudie kwenda kuonja hiyo mitaribo kwa hakuna awali mbovu, take it my dear
kuna dawa inaitwa harakati iko kwenye chupa ya plastic inapatika hapo kariakoo kwenye maduka yanayouza madawa ya asili chupa moja tsh 3000 unatakiwa kunywa chupa4,ni nzuri sana binti amemsadia sana kwani sasa anakula hata maharage
pole Dr , kwani kuna watu wengine wenye mtazamo kama wako ambao wanakimbilia hao under 18 , kumbe siku hizi hao watoto wadogo wanatembea watu wazima wenye umri kama kaka zao au baba zao, sasa hapo hutaraji kuukwaa tu Dr, katika hiyo list yako ya wachumba 100. Pls watch ur steps
Cha muhimu acha...
ama kweli haya majina yana utata kweli, labda kwao huko ni jina la mtu maarufu, kwani hapa Taz kuna mkoa mmoja wa kaskazini kuna majina ambayo ni pacha na hilo jina la mtaa huo, na maisha yanasonga mbele na hata redioni wkt wa vipindi vya msiba hilo jina hutamkwa
picha hiyo inatukumbusha mbali enzi za viboko, viboko ni vizuri katika kumrudi mtoto vinapotolewa vichache, kwani hata kwenye biblia inahimiza kumpa mtoto bakora kidogo ili kumrudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.