MENOPAUSE: Kumbe tunapochukua dogodogo tunachangia...........

MENOPAUSE: Kumbe tunapochukua dogodogo tunachangia...........

Utamu umekuja utamu umekata,EMBU MALIZIA MWENYEWE BHANAA...uzuri gani na mimi nitafuta wa juu ya umri wangu,kama sio wa chini kabisa ya umri nimpe maraha! Naona Kongosho hajazungumzia hili.!

Kongosho usiingie mitini jibu hapa!
 
Mimi nadhani nipo Tofauti kidogo napenda sana wanawake watu wazima wenzangu, nikiwa na kibinti kidogo huwa nahisi kama kuna Undue influence

Mvaa Tai acha kutafuna maneno "undue influence" hiyo imekaaje maana sijakupata kabisa.
 
hakuna wa kumuonea huruma kwani ikifika zamu yake naye atampata yule atokaye kwa Bwana Mungu, so kuoneana huruma kumetoka wapi bestito?
 
Michael-Douglas-and-Cathe-010.jpg

Hapa bibiye ana mapenzi kweli na huu uso uliokunjamana au properties zinazomilikiwa na hiki kizee?
 
Ngoja ukue kue kwanza, ukiwa bongo fleva wa 60's niambie

Tabu yako wewe baba yako anapokuita "mama" wewe unavimba kichwa unaamini kuwa wewe kweli ni mama yake (which means unaji-categorize kuwa ni 60's).

Mie kibabu mwenzio, shauri yako!
 
Hapa bibiye ana mapenzi kweli na huu uso uliokunjamana au properties zinazomilikiwa na hiki kizee?

Kibabu akisha kufa tutajua bibie imemchukua miezi mingapi kubeba kifaa kipya hapo ndipo tutampima alimpenda au?
 
Tabu yako wewe baba yako anapokuita "mama" wewe unavimba kichwa unaamini kuwa wewe kweli ni mama yake (which means unaji-categorize kuwa ni 60's).

Mie kibabu mwenzio, shauri yako!

Kama ni wa enzi zetu basi umesimama barabara..........
 
hakuna wa kumuonea huruma kwani ikifika zamu yake naye atampata yule atokaye kwa Bwana Mungu, so kuoneana huruma kumetoka wapi bestito?

huruma nikumtendea mwenzio jinsi ambavyo ungependa kutendewa na hapo mahaba yamekamilika.
 
....mkuu Rutashubanyuma, wanasema, "mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio"!!!
 
Taarifa za kitaalamu zinadai wanaumme tunapochukua dogodogo na kuachana na wale wa saizi yetu tunawasababishia kukataa tamaa ya kuzaa na hivyo kujikita kilaini kwenye MENOPAUSE.

Yabidi tuwe na huruma na wale wa rika letu na tuache kuwanyanyapaa na kuwaachia maumivu makali.

'Cradle snatchers' cause menopause, says biologist

Michael-Douglas-and-Cathe-010.jpg

Michael Douglas and Catherine Zeta Jones. Prof Rama Singh argues that the male preference for young mates has led to the menopause. Photograph: Jim Spellman/WireImage

Unawaachia maumivu au utamu?? Hapo naweka pingamizi.
 
Back
Top Bottom