Nisamehe MWALIMU sirudii tena

Imenikumbusha mbali sana enzi za S/M Mazoezi Monduli na Head Teacher Mollel (aka Olelee) bakora za live na kipichu tu

Daaaah, kweli kabisa hii ni shughuli jamani
 
Mwangalie kwa makini huyo mtoto anayechapwa, inaonyesha wazi kabisa hizo fimbo hazisaidii kumrekebisha bali zinamuongezea hasira, ujeuri, kiburi na roho mbaya. Tafakari chukuwa hatua
Kwa sekondari wale waliokuwa wakorofi ilikuwa lazima kujaradia /kusunda yani wanavalia kanguo kagumu ndani
 
halafu kanaonekana ni katundu sana hako katoto, katizame macho yake.


Kuna watoto mpaka leo hii bila Bakora hawaendi,na tukubali tusikubali lakini ukweli unabaki palepale kuwa kuna wengine kati yetu humu ambao bila bakora tusingefikia mafanikio tulio nayo leo hii....
 
picha hiyo inatukumbusha mbali enzi za viboko, viboko ni vizuri katika kumrudi mtoto vinapotolewa vichache, kwani hata kwenye biblia inahimiza kumpa mtoto bakora kidogo ili kumrudi
 
Siku hizi wanafunzi hawavai viatu vyeusi vya kamba shuleni!??
 
Nahisi dogo atakua kawawekea kioo chini hao warembo halafu akawachungulia pichu zao ......ndio maana wakaja kushtaki kwa ticha. Nilikamatwa na kiooo nikala bakora just the same kwenye hio scene hapo juu
 
Nahisi dogo atakua kawawekea kioo chini hao warembo halafu akawachungulia pichu zao ......ndio maana wakaja kushtaki kwa ticha. Nilikamatwa na kiooo nikala bakora just the same kwenye hio scene hapo juu
Baada ya hapo utasikia fulani leo katinga nyekundu
 
Hako kajamaa kalipaka ----- kwenye madawati ya hao mabinti wacha kale bakora
 
Kimsingi kama ni lazima huyo 'Iddi' achapwe basi mwite mzazi wake afanye hiyo kazi, sana sana atambulia viboko shule na viboko nyumbani, lakini sikubaliani na swala la mwalimu kutoa adhabu, hata kama nia ni njema wacha mazazi au mlezi afanye hiyo kazi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom