Hivi Kenya wanawake wameisha mpaka wanaume kufanya mapenzi na wanyama?

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Sasa nchini Kenya katika siku za hivi karibuni kumetokea visa vya kustaajabisha sana......

Mwanamume mmoja alifikishwa mahakamani hapo jana baada ya kupatikana akifanya ngono na Kuku ambaye baadaye alifariki

Huku katika eneo lengine wanaume wanne wakifanya kitendo sawa na hicho na Punda baada ya kumfunga miguu yote.Punda huyo naye hakunusurika kwani alifariki baadaye.

Kwingineko mwanamume alitoroka uchi wa mnyama baada ya kupatikana akijamiiana na Mbuzi.

Vitendo hivi vimekuwa vikiongezeka tangu wanawake kukamatwa mjini Mombasa zaidi ya mwezi mmoja uliopita wakijamiiana na Mmbwa.

Matukio haya yamewashangaza wakenya wengi baadhi wakihoji dunia imekuwa nini?
 
Wanawake wao wababe saana ndiyo maana hadi wanaumme wameamua kuanzisha chama cha wanaumme wanaudundwa na wake zao!!!! Hii yaweza kuwa sababu ya kujitafutia njia mbadala-WANYAMA:smile-big:
 
Wanawake kila kitu wanataka mikataba na itakuwa vipi baada ye ndio maana na wanawake wanaenda piga picha za ngono na mbwa
 
Hata Tanzania visa hivi vipo vingi au na hapa hakuna Wanawake? Google to utaona ambavyo vimeripotiwa
 
Huyo punda naye alikufa sababu aliumizwa ama? Haiingii akilini bado...Mungu okoa nchi yako
 
Sasa nchini Kenya katika siku za hivi karibuni kumetokea visa vya kustaajabisha sana......

........Mwanamume mmoja alifikishwa mahakamani hapo jana baada ya kupatikana akifanya ngono na Kuku ambaye baadaye alifariki.....huku katika eneo lengine wanaume wanne wakifanya kitendo sawa na hicho na Punda baada ya kumfunga miguu yote....Punda huyo naye hakunusurika kwani alifariki baadaye..........Kwingineko mwanamume alitoroka uchi wa mnyama baada ya kupatikana akijamiiana na Mbuzi .........vitendo hivi vimekuwa vikiongezeka tangu wanawake kukamatwa mjini Mombasa zaidi ya mwezi mmoja uliopita wakijamiiana na Mmbwa.......Matukio haya yamewashangaza wakenya wengi baadhi wakihoji dunia imekuwa nini?

Mkuu, umeuliza swali zuri ila Kenya wanawake wako wengi tu tena shinda hata wanaume kama hapa Tanzania tu. Hawa jamaa waliokamatwa na wengine kuingia mitini ni wacheza sinema ama ZE Comedy tu kwani siku hizi kuna kamchezo kameingia cha kufanya ngono na wanyama kisha unauza picha yako mtandaoni kupitia kwa mawakala. Pale Kinondoni kuna jamaa/wakala anakusanya picha kama hizi. Uishangae sana mkuu kwani kwenye njaa mara nyingi kuna ya kustahajabu. Mimi nilinawa mikono baada kuona jamaa anabaka inzi wale wa CCM, kuanzia hapo ninaamini kila kitu kinawezekana.
 
Sasa nchini Kenya katika siku za hivi karibuni kumetokea visa vya kustaajabisha sana......

........Mwanamume mmoja alifikishwa mahakamani hapo jana baada ya kupatikana akifanya ngono na Kuku ambaye baadaye alifariki.....huku katika eneo lengine wanaume wanne wakifanya kitendo sawa na hicho na Punda baada ya kumfunga miguu yote....Punda huyo naye hakunusurika kwani alifariki baadaye..........Kwingineko mwanamume alitoroka uchi wa mnyama baada ya kupatikana akijamiiana na Mbuzi .........vitendo hivi vimekuwa vikiongezeka tangu wanawake kukamatwa mjini Mombasa zaidi ya mwezi mmoja uliopita wakijamiiana na Mmbwa.......Matukio haya yamewashangaza wakenya wengi baadhi wakihoji dunia imekuwa nini?

BBC Swahili
 
ata kama ni ukame lakin hii imezidi.
ata kama kutaman lakin hii imezid.
nais mpaka shetan aliogopa.
 
ukishanga ya musa utaona ya firauni, yaani watu tutaogopa kula hata hao kuku
 
Sasa nchini Kenya katika siku za hivi karibuni kumetokea visa vya kustaajabisha sana......

........Mwanamume mmoja alifikishwa mahakamani hapo jana baada ya kupatikana akifanya ngono na Kuku ambaye baadaye alifariki.....huku katika eneo lengine wanaume wanne wakifanya kitendo sawa na hicho na Punda baada ya kumfunga miguu yote....Punda huyo naye hakunusurika kwani alifariki baadaye..........Kwingineko mwanamume alitoroka uchi wa mnyama baada ya kupatikana akijamiiana na Mbuzi .........vitendo hivi vimekuwa vikiongezeka tangu wanawake kukamatwa mjini Mombasa zaidi ya mwezi mmoja uliopita wakijamiiana na Mmbwa.......Matukio haya yamewashangaza wakenya wengi baadhi wakihoji dunia imekuwa nini?

BBC Swahili

Hatari tupu, hizi ni nyakati za mwisho. Kiswahili sanifu ni kwamba kuku alikufa (siyo alifariki)... na punda pia alikufa. Kufariki ni neno maalum kwa binadamu tu.
 
ata kama ni ukame lakin hii imezidi.
ata kama kutaman lakin hii imezid.
nais mpaka shetan aliogopa.
Pengine wanaogopa ukimwi au mganga wa kienyeji amewaambia kufanya hivyo ni tiba ya aina fulani aidha magonjwa au utajiri
 
Wanawake wa kenya msiwe too expensive and demanding. Sasa hivi wanakufa punda, soon watakufa hao majinuni! Kuweni na huruma.
 
Nazani hii inatokea kwa kuwa wanaume wa kenya wamekuwa wakipigwa sana na wanawake ndo maana wanakimbilia huko
 
Hicho kimwanapunda nacho kilikuwa kinaumwa tu!!! Kwa uume gani hadi kife???
 
Back
Top Bottom