Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
- Thread starter
- #101
Pole ila hata unavyoandika humu maana yake si unaongeza degree ya kumkumbuka? Ningekuwa wewe hata kusikia jina lake tu nisingeruhusu!!! Nikikuacha mimi kurudi ni sawa na kutaka kumeza tena matapishi yangu. Sorry for hard language ila ninafikiri the last thing a man will do to me ni kunitusi achilia mbali kunipiga.
Ha ha haaaa haaaaa. .we mkareee