Mathematics...This student must be genius.

Mathematics...This student must be genius.

Duh huyo mwanafunzi kiboko kweli ametisha kwa kutoa alichokuwa anafikirilia kichwani kwake,
 
Mwee!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Dahhh, hii ni kama iliyotokea hapa chini:

Saturn-was-not-a-single-lady.jpg


Binti alikuwa na huu wimbo wa Beyonce hapo kichwani mwake... Mwalimu pia akawa anaufahamu.....
3547183248_63115b5ca0.jpg
 
huyo mwanafunzi kweli ni kilaza..anaifanya hesabu ni rahisi hivyo
 
Back
Top Bottom