Recent content by C0deName 30588

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa rungwe-mbeya au yeyote!

    Thats too dangerous method to obtain information. remember kuna kitu kinaitwa PRIVACY. u should be undercover and MAINTAIN YOUR Confidential Items....please go to yellow pages, the directory will give u wat u need.
  2. C

    JamiiForums Tanzania nafasi za kazi katika haya magazeti vipi?

    kazi na kazi muraaa!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

    hiri naroooo.! watu 2nakimbilia humu 2nazani kuna utamu kumbe kaandika makorokocho.... mende we! :yawn:
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    huyu jamaa anataka track za Ebbo zisahaulike yani zisichezwe kabisaaaa, sema nyie hamjashituka tu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania mbona nimeweka picha yangu

    hiyo picha ya kimkono ndo real?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ngeleja aingia club na Aunt Ezekiel usiku wa manane Dom

    wabongo bana...kwani nyie hamjawahi kula bata? kwani ye akila bata we unahusu nini? mwacheni bana amle bata wake nyie niaje? Kosa mkifanya nyie hamuoni akifanya yeye mineno inawatokaaaa!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Consultancy vacancy at UNICEF

    too long to read. waTZ tulivyo wavivu kusoma.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Eti Wachina ni wazinguaji kwenye Malipo?

    Kuna tetesi huwa nazisikia kuwa hawa WACHAINIZI wanazingua sana kwenye ishu za Payments kama unafanya nao kazi?:shock:
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba msaada

    Ushauri wangu ungeendelea na chuo 2 coz certificate ni mwanzo 2
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu

    Mjini shule ndugu zangu.. mi nashauri kuwe na REGULATORY AUTHORITY ya hawa jamaa wa Job Searching Agents (madalali wa kazi) coz wengine Bosheni tu.. mtu anakaa chumbani na ki laptop chake anatengeneza tangazazo na kilipost hewani. Nimeishi Arusha but hamna k2 kama kibacha sijui upuuzi gani. then...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Dj Steve B Vs Dj JD

    pipo mnaleta stori na bifu za klauzi na thugu humu ndani.....EM TOKENI HUKO, Kabishaneni Vichochoroni, 2mechoka upuuzi wenu wa Na umamluki sasa. Badala kukaa kufanya ishu za maana mnafata mikumbo 2 ya clauzi na Thugu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Afande Sele ndani ya STR8 music yoo.....

    jamani makelele ya nin i???? mi naomba 2bishane humu after show zote kufanyika. 2ONE NANI REAL NA NANI FEKI.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega

    we will see on jmosi... why shouting?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu unavoomba kazi , Unataka nini Exactly?

    Maybe.. so hadi leo kimya? nlijua peke yangu. Na yale makadi yao uliwapa watu waende? em nipe stori mwenzangu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu unavoomba kazi , Unataka nini Exactly?

    hello.! jamani wana Jamii wenzangu mi naomba niulize kitu, Hivi mtu unavoomba kazi si unataka Kazi then at the end wakulipe Mshahara? IN SHORT NI KWAMBA TUNAOMBA KAZI ILI TUPATE HELA. sasa nashangaa, kuna sehemu moja walitangaza nafasi za kazi, then watu tukatuma maombi yetu, baadae tukapigiwa...
Back
Top Bottom