nafasi za kazi katika haya magazeti vipi?

cruscrus

New Member
Dec 8, 2011
1
0
kuna nafasi za kazi zinatangazwa kwenye magazeti ya michezo na udaku kama risasi, mwanasport, dimba na mengineyo. qualifications zao zinakuwa form 4, 6 na vyuo. vipi zinamaslahi au zimekaaje? mwenye kulijua hili naomba taarifa.
 
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma, we ingia ucheze. Na kwa nini unasoma magazeti ya udaku kama mtoto wa kike?

Anyway, kwa kifupi ni ajira uchwara za kuuza vitu mkononi. Nafikiri unawaona vijana mtaani wakibeba chupa za chai na mabeseni kila mtaa. Kama umri unaruhusu ni good experience in life. Lkn km una miaka kama yangu, you will find it difficult kutembea all over the city. Tatizo lao hawa wenye kutoa hizi ajira ni wadaku km magazeti wanayoyatumia kutangaza. Wanaficha ukweli mpk mtu ufike ofisini kwao ndio unabaini ni nini wanafanya.
 
kazi na kazi muraaa!

  • A%20S%20465.gif

Back
Top Bottom