Afande Sele ndani ya STR8 music yoo.....

NI Dharau sana kwa wasanii Kutumika Kwa Dharura!. Hii vita haitoisha hivi hivi lazima kundi moja litazika mtu ndo watu wataheshimiana.
Ila kwa upand mwingine inafurahisha kwani, Inaonekana jinsi Gani Antivirus wanawatisha Clouds Fm.
 
Hao clouds ni wanafiki walikua hawapigi nyimbo zake kisa kagombana na fetty,sasa wameona bora wambembeleze ili asiende kwa sugu(kumbuka sugu ndo kamtoa afande sele) wanafanya hiv kupandikiza chuki ili sugu achukiane na sugu,wakishamtumia wanamwaga,afande clouds co watu hao nenda kwa sugu;;;;;Hapa sielewi mbona sugu anasema kwamba Manzese crew na lwp watakua kwake,sasa mbona imebadilika?[/[/COLOR]QUOTE]

Nadhani hapo kuna kamchezo kanafanyika ka kutaka kuharibiana show, sina shaka kwamba clouds wanatumia kila mbinu kuhakikisha tamasha la vinega linakosa mahudhurio.



Tamasha la Anti Virus linatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Tarehe 26 Mwezi huu.Jijini Dar es Salaam,Kwa Mujibu wa Mh Sugu amesema wasanii ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiri katika Tamsha hilo ni Mh sugu mwenyewe na wengine ni Soggy Doggy,Rama D,Mapacha,Manzese Crew,Big Dogg Pose,Suma G,Mkolooni,Adili,Gangwe Mob,Mabaga Fresh,Dk Levy,Danny Msimamo ,Lwp,Tamasha hilo linalotarajiwa kuanza saa 12 jioni hadi saa sita za usiku.Mr amesema "tunatarajia tamasha hili litakuwa zuri na la kuvutia na litakuwa tamasha la aina yake katika kumaliza mwaka Tunaomba wadu wajotokeze kwa wingi."
 
King of rhymes,king of all the times,the legendary himself,Darubini hitmaker baba Tunda Afande sele baada ya kumkacha Sugu atakuwepo jumamosi mtu mzima ndani ya str8 music atajumuika yeye na majembe longtime kitambo GWM,MANZESE CREW,LWP,KIKOSI CHA MIZINGA,famous Jay more,more technics,more rhymes na Juma sir kiroboto Natureee...njooni tupakue ugali wa Kiroboto na tutatue utata unaomchanganya Jay more wa mvua na jua,,na majembe from NY DMX & FABOLOUS!...Kwenye MIC Adam mchomvu+Dj fetty+B.dozen B.year B.twelve B.twangala B.twiz...on the one&two Dj Zero...We right here and We be killing em yoo...

Waacheni wafu wawazike wafu wenzao.
 
BIG SOUND,BIG STAGE,TOO MANY LIGHTS FOR THE NIGHT...................kwa vinega kunahusika.
 
Afande mshamba tu kwanza ni msaliti sana kwenye game.. Ashazulumu wasaniii wengi sana.. Kuna dogo mmoja kule mwanza alifanya nae ule wimbo wa uwanja mpya kwenye chorus alafu akamchinjia baharini kny video.. Afande, clouds na wote waliosaliti vinega machoko wa magoro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom