Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,542
Hata kupga debe kwnye magari mmeshndwa mbona ulaya watu wana elimu zao wanazbua vyoo huo ulimbukeni kuchagua kazi nendeni hata kwnye zege au hamjui mwanaume kazini shauri yenu umri unakwenda na nchi imeuzwa,hata chupa okoteni nayo ni kazi
 
Lazima utakuwa Muha tu. Hakuna sehemu nyingine ya Tanzania unaweza kupata mtu mwenye vituko vya namna hii zaidi ya Kigoma kwa watani zangu ambao wapo kama sigara kali, hawaeleweki nyuma wapi mbele wapi. Umehakikisha mpk na wewe leo umeanzisha uzi. Haya mtani.....twende!
 
Nakubali kubeba zege, kupiga debe na hata kuzibua vyoo vya nyumbani kwenu. wasomi wapo nwengi, wote tukifanya hizo kazi itakuaje? huko ubungo tukijaa na wenye taaluma ya zege tukiwaingilia si ndio ubaya ubaya? Acha ubakayeya wewe tena usitake kutuchanganya wenye elimu zetu na kama tukikosa kaz haikuhusu.
 
Hata kupga debe kwnye magari mmeshndwa mbona ulaya watu wana elimu zao wanazbua vyoo huo ulimbukeni kuchagua kazi nendeni hata kwnye zege au hamjui mwanaume kazini shauri yenu umri unakwenda na nchi imeuzwa,hata chupa okoteni nayo ni kazi
kwel ukipata hukumbuk ulipotoka
 
Hata kupga debe kwnye magari mmeshndwa mbona ulaya watu wana elimu zao wanazbua vyoo huo ulimbukeni kuchagua kazi nendeni hata kwnye zege au hamjui mwanaume kazini shauri yenu umri unakwenda na nchi imeuzwa,hata chupa okoteni nayo ni kazi

Mbona we hufanyi bana acha zako..............KDDDK.
 
Watu wote tukiajiriwa nani atauza nyanya mtaani na shughuli kama ulizotaja.
 
Ndugu yangu kila siku nakushauri usivuje tumbaku bila kula ona sasa unavyojiaibisha
 
Inaonekana unafanya kazi uingereza za kukameruniwa. Hizo nazo hazihitaji elimu.
 
Back
Top Bottom