Nimeitwa interview kupitia zoom , lakini wizi mtupu

Wako,
S. K. Kihiyo
255 757 547874
Human resource manager
KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER

Mkuu hapa kuna kila dalili ya utapeli. Jiulize hicho chuo kiko based wapi, hakuna hata anwani ya makazi. Sasa ili kupata ukweli bila kuacha mashaka, piga simu Impala Hotel, uliza kama hicho chuo kimefanya reservation katika siku tajwa.
 
wewe ni nouma ila ulifanya ya msingi ungewaambia na wenzio bana hao jamaa matapel siwataki kabisa, mi mwenyewe natafuta kazi nimekuwa kama jinga yaan unaweza nitapeli hivi hivi, afu wanajamvi msijidanganye kuitwa kwenye kazi zinazotangazwa maana nimeona wanaitana kiundugu tuu, wanatangaza kama danganya toto tuu

u're right, lakini wakati ule na uchalechale wa secondary niliona ni kama kila m2 na lwake kumbe sio!
 
mashaka yako ni hapa

S. K. Kihiyo
haya majina yanahusishwa na udanganyifu mkubwa.
 
Yani waungwana swala la ajira sanaa mtindo mmoja, kila mtu anakuahidi kuwa ana influence anaweza kukusaidia unaweza shangaa unapigiwa simu mtu anakwambia unaitwa interview then anakwambia utapigiwa upewe maelekezo zaidi hapo ndio umeshaachwa!!!!
 
Hii ni TZ ya mafisadi bana na sasa unahamia kwenye sector binafsi na raia wamalizie
 
HIYO ELFU KUMI NI YA NINI? MBONA NI KAMA WIZI, ELEZA KIUNDANI
ZOOM TANZANIA KIBOKO.
icon13.png
[/QUOTE]
 
hapo inaonyesha waziwazi kwamba,kinachohitajika ni elfu kumikumi zenu na hakuna kazi hpo,TAFAKARI,CHUKUA HATUA.
 
Pole sana,
lakini hata na mimi naona kwamba kweli huo ni wizi mtupu??????:A S 465:
 
Mkuu kuna dosari kwenye heading, hukuitwa na zoom bali kampuni kwenye red hapa chini.
jiulize maswali machache
1. je uliwahi kuomba kazi kwenye hiyo kampuni tajwa hapa chini?
2. Je professional yako ni kweli inawiana na walichotaja?
3. kwanini muda wa kuitwa kwenye interview ni mdogo sana yaan kwa kushitukizwa...na hiyo kampuni kweli ipo?
4.kwanini utume hela tena kwa mpesa. kwanin wasikuambie uweke kwenye account? halafu jibu utapata kwa sms!! kama hela ya kujikimu ipo na wameweza kutafuta sehemu ya accomodations kwanini wameshindwa kuandaa usafiri?

NAIJA styleeeeee...hahaha...wangeweza kufanikiwa kama wasingeweka madoido na manjonjo kwenye blue mwisho

HONGERA!

KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER IMEKUCHAGUA KUINGIA KATIKA SHORT LIST YA WATU WATAKAO FANYA INTERVIEW TAR 1/12/2011.

Baada ya kufanya uchambuzi wa kina, wewe umukua miongoni mwa watu sabini (70) tulioona kua wana vigezo vyote kuja kufanya kazi katika chuo chetu kama system analyst kama ulivyo omba. Hata hivyo miongoni mwa hao sabini, watu kumi na nane tu ndio watakaoajiriwa baada ya kupita interview yetu. Interview itafanyika ta 1/12/2011 kama ifuatavyo

1/12/2011 – saa 2:00 asubuhi hadi saa 4: 00 asubuhi ;interview ya kuandika (writing interview). Saa 6:00 mchana hadi saa 8:00 mchana; interview ya mahijioano (oral interiew)
2/12/2011 – saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni; interview ya vitendo (practical interview)
3/12/2011 – kila alishiriki kwenye interview atapewa barua yenye matokeo ya interview pamoja na “kifuta jasho”.

Watakaopita interview watatakiwa kureport kwa human resource manager jumatatu tar 5/12/2011saa 2:00 asubuhi ili kupewa maelekezo yote jinsi gani ya kuaanza kazi. Aidha, watakao pita interview watapewa wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa pamoja na pesa ya kujikimu.
Kwa kutambua kwamba wapo candidates wanao toka mbali, na ili kuepuka usumbufu ambao ulishawahi tokea awali, chuo kimeandaa hifadhi kwa interviewers wote katika hotel ya impala.

Ili kuonyesha ukubali wako kwa wito wetu utatakiwa kufanya yafuatayo KABLA ya tar 30/11/2011 saa 10:30 jioni.

Tuma jina lako kamili ulilotimia katika vyeti vyako, Namaba yako ya simu amabyo itapatikana muda wote pamoja na Tsh.10 000/- kwenye nama 0757 547874(pesa itumwe kwa M-pesa). Baada ya kufanya hayo utatumiwa SMS kukujulisha kwamba jina lako limekua recorded kwa interview. Utapigiwa simu jumanne tar 29/11 ili kukupa taratibu na namna gani ya kufika ARUSHA
(pesa iliotajwa hapo juu itatumika kucover costs ndogo-ndogo ambazo hazikua kwenya badget yetu kama usafiri kutoka hotelini hadi interview center)

Utatuwia radhi kwa kukushtukiza na uharaka wa namna hii. Tumefanya hivi ili kukimbizana na muda.

Wako,
S. K. Kihiyo
255 757 547874
Human resource manager
KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER

ZOOM TANZANIA KIBOKO.
icon13.png
 
Mjini shule ndugu zangu.. mi nashauri kuwe na REGULATORY AUTHORITY ya hawa jamaa wa Job Searching Agents (madalali wa kazi) coz wengine Bosheni tu.. mtu anakaa chumbani na ki laptop chake anatengeneza tangazazo na kilipost hewani. Nimeishi Arusha but hamna k2 kama kibacha sijui upuuzi gani. then 4 wat i know kama tey can rent rooms at impala hotel(by the way its mamong Most expensive hotels in Arusha) vp wanataka buku 10 zenu? BEWARE PEOPLE, huyo jamaa Mwizi.
 
HONGERA!

KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER IMEKUCHAGUA KUINGIA KATIKA SHORT LIST YA WATU WATAKAO FANYA INTERVIEW TAR 1/12/2011.
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina, wewe umukua miongoni mwa watu sabini (70) tulioona kua wana vigezo vyote kuja kufanya kazi katika chuo chetu kama system analyst kama ulivyo omba. Hata hivyo miongoni mwa hao sabini, watu kumi na nane tu ndio watakaoajiriwa baada ya kupita interview yetu. Interview itafanyika ta 1/12/2011 kama ifuatavyo

1/12/2011 – saa 2:00 asubuhi hadi saa 4: 00 asubuhi ;interview ya kuandika (writing interview). Saa 6:00 mchana hadi saa 8:00 mchana; interview ya mahijioano (oral interiew)
2/12/2011 – saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni; interview ya vitendo (practical interview)
3/12/2011 – kila alishiriki kwenye interview atapewa barua yenye matokeo ya interview pamoja na "kifuta jasho".

Watakaopita interview watatakiwa kureport kwa human resource manager jumatatu tar 5/12/2011saa 2:00 asubuhi ili kupewa maelekezo yote jinsi gani ya kuaanza kazi. Aidha, watakao pita interview watapewa wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa pamoja na pesa ya kujikimu.
Kwa kutambua kwamba wapo candidates wanao toka mbali, na ili kuepuka usumbufu ambao ulishawahi tokea awali, chuo kimeandaa hifadhi kwa interviewers wote katika hotel ya impala.

Ili kuonyesha ukubali wako kwa wito wetu utatakiwa kufanya yafuatayo KABLA ya tar 30/11/2011 saa 10:30 jioni.

Tuma jina lako kamili ulilotimia katika vyeti vyako, Namaba yako ya simu amabyo itapatikana muda wote pamoja na Tsh.10 000/- kwenye nama 0757 547874(pesa itumwe kwa M-pesa). Baada ya kufanya hayo utatumiwa SMS kukujulisha kwamba jina lako limekua recorded kwa interview. Utapigiwa simu jumanne tar 29/11 ili kukupa taratibu na namna gani ya kufika ARUSHA
(pesa iliotajwa hapo juu itatumika kucover costs ndogo-ndogo ambazo hazikua kwenya badget yetu kama usafiri kutoka hotelini hadi interview center)

Utatuwia radhi kwa kukushtukiza na uharaka wa namna hii. Tumefanya hivi ili kukimbizana na muda.

Wako,
S. K. Kihiyo
255 757 547874
Human resource manager
KIBACHA COMPUTER TRAINING CENTER

ZOOM TANZANIA KIBOKO.
icon13.png

Mimi naona una lako jambo na hao zoom. Kwa hiyo ina maana wewe ukipokea message ya utapeli kupitia email yako ya yahoo, utasema yahoo watapeli? acha wivu wa kijinga. Kama unashindwa kuelewa mambo rahisi kiasi hiki, mambo makubwa ya katiba utayaelewa kweli. Mle zoom kuna magari na vifaa mbalimbali vinauzwa - si vya zoom, ni watu wanaweka matangazo tena bure. Sasa wewe ukiingia kichwakichwa ukatapeliwa, utasema ni zoom? AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO
 
Wewe umeitwa kwenye usaili na Zoom au Kibacha??? Acha kupotosha uma Zoom wakitangaza kazi nenda kwenye website ya hilo shirika, wizara nk ndo ukute kama kazi zipo au hakuna.

Zoom imekosea wapi hapo??? Au ni Kibacha?? Mie nimeitwa interview nyingi sana kupitia matangazo ya zoom na siapply kwa zoom bali na apply direct kwa shirika
 
Back
Top Bottom