Wenyeji wa rungwe-mbeya au yeyote!

elia mgina

Member
Dec 29, 2011
27
2
Salaam mpendwa natumaie upo mzima wa afya. NAOMBA kwa yeyote anae weza kunipa contacts za elimu utawala (afisa elimu) rungwe-wilayani/tukuyu. au kama una uelewa kamili wa rungwe kiujumla naomba unisaidie namba yako pia nikutafte private zaidi.
please your help is highly valued.... THANKS
 
Thats too dangerous method to obtain information. remember kuna kitu kinaitwa PRIVACY. u should be undercover and MAINTAIN YOUR Confidential Items....please go to yellow pages, the directory will give u wat u need.
 
Salaam mpendwa natumaie upo mzima wa afya. NAOMBA kwa yeyote anae weza kunipa contacts za elimu utawala (afisa elimu) rungwe-wilayani/tukuyu. au kama una uelewa kamili wa rungwe kiujumla naomba unisaidie namba yako pia nikutafte private zaidi.
please your help is highly valued.... THANKS

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa! mkuu ulikuwa unaulizia sana ajira za elimu, we nenda tu huko ukafundishe hii tabia ya kulia njaa halafu ukipata kazi unaona kama ni mkosi siipendi sana.

Tena kuna ndugu yangu amepangiwa kwenda kufundisha ktk wilaya ya Rungwe, kasoma ualimu UDOM, kama vipi nikutumie namba yake unaweza ukawa umepata mwenzio kwa kampani walau muwe mnaliwazana huku mkiendelea kusukuma gurudumu la maendeleo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom