Jamani naomba msaada

Coolbaby

Senior Member
Oct 12, 2011
116
5
Wakubwa shikamooni vijana wenzangu habari za jioni.Mi mwenzenu ninashida na kazi ile mbaya nimejaribu kutuma maombi yangu sehemu mbalimbali ila cjaona mafanikio na mimi ni mtoto wa kwanza ktk familia ye2 ambaye ninategemewa sana, nisaidieni jamani nina certificate ya records management.
 
Mzee mbona zipo kazi nyingi sana za hiyo taaluma.week kazaa ziöizo pita zilitangazwa nafasi za kazi kama hizo.Usikate tamaa mzeya kila jaribu linamlango wa kutokea. Utapata tuu kazi amini hivyo.
 
Mzee mbona zipo kazi nyingi sana za hiyo taaluma.week kazaa ziöizo pita zilitangazwa nafasi za kazi kama hizo.Usikate tamaa mzeya kila jaribu linamlango wa kutokea. Utapata tuu kazi amini hivyo.
ndio ila sio lazima iwe niliyoisomea hata hz zingine
 
Back
Top Bottom