Recent content by C J

  1. C J

    Veta ni Jipu liliova

    Wakuu nikili tu kuwa hii taasisi ya ufundishaji mafundi ni jipu lililoiva kabisa, Nina kijana wangu Amememaliza Veta fani ya Ujenzi mwaka juzi October 2015 mpaka ninavyoandika hapa vyeti havijatoka ile hali ni mwaka na miezi mitatu imepita, kijana nimemtafutia kazi tatizo ni cheti hana wala...
  2. C J

    Msaada: Sielewi tofauti ya dunia na ulimwengu

    Mkuu ni ktk uso wa dunia
  3. C J

    Hakuna website ya kisasa kama ya chuo kikuu cha UDOM

    Kiukweli Udom wamejitahdi sana ktk kuwa na website nzuri na makini mimi sijui sana hii university yote ila nawapongeza sana college of informatics haswa wahandisi wenzangu Wa Telecommunication and Computer na appreciate sana product za informatics graduates haswa tunapokutana sites
  4. C J

    Tujuzane njia za ku hide My IP au ku create VPN kwenye PC yangu

    Deep web ni salama zaidi mkuu means utakuwa anonymous tafuta orbit au tor browser ili kupata access ya deep or dark web
  5. C J

    Namna ya kuweka pin kwenye PC

    pin kivipi mkuu? yani unapowasha itake pin? kama ni hivo nenda control panel utaikuta kwenye start halafu user account utaona hii current akaunti yako i set paswword then done
  6. C J

    Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

    Mkuu link card yako ya bank Visa au master na paypal kwa Equity na Bank Abc ni easy ila crdb utahitaji kujaza barua fulani
  7. C J

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Mkuu Huko tunakoenda patabadilika na sifikiri huyo mhaya atakaa apo daima very soon atapisha wenzie
  8. C J

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    DIT na MUST zipo bachelor kama tano ivi na ATC pia ipo moja ya civil and irrigation hivo vyuo vinatoa kweli wahandisi ambao ni demand kwa soko letu hatuna umuhimu sana na theoritical kwa wakati huu japo mbeleni watahitaji theoretical based zaidi ni Ud yani Coet apo mkandara hataki ata diploma...
  9. C J

    Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Narudia hata tuchukue Cut off point za juu au Gpa kubwa bado shida ni elimu inayotolewa mavyuoni ni tabu tunapima creaming capacity zaidi kuliko understanding na practical mwanafunzi anamaliza let say anapata kazi serikalini na field yake anaitupa kabisa no curiously no inspiration hata media ni...
  10. C J

    Chanzo cha Beef la Dr. Kigwangalla na Tabibu Mwaka hadharani

    Huyo jamaa ni muuguzi bure kabisa ata tafsiri ya doctor kwa kiswahili ni mganga hajui
  11. C J

    Ushauri: Tuache kukariri katika elimu!

    Aisee hili Gazeti niliweke kiporo panapo uzima ntarudi kulisoma
  12. C J

    Inakuwazekanaje mtu kusoma chuo kilicho sajiliwa na nacte pasipo form 4

    Ili usajiliwe Nacte lazima uwe na academic certificates walau D mbili O level anaekuambia sijui una zero na utapata chuo labda Masai utalii college,Eagle wings college Hata akikuambia uanze na pre entry ndo u join up certificate or diploma kama umetaga o level usikubali the best way ni kureseat...
  13. C J

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Science sio imani mkuu mana kuamini ni fikra ambazo inaweza kuwa kweli au lah je unaamini ukirusha jiwe juu linarudi chini au Ndo uhalisia kuwa jiwe lazima lirudi chini likirushwa juu hii sio imani mkuu ndio uhalisia hauhitaji kuamini au lah bari ndo reality
  14. C J

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mkuu Hivo vitu vyote unavyojaribu kutoa mifano Science imevielezea vyema sana kwa kweli sijifikiri hata nikupe uchambuzi kuwa Pumzi tunayovuta na inayofanya tusurvive ni oxygen science ya primary kabisa, Mungu wako hadhibitishikiki kiaina yoyote Sasa ukitolea mifano vitu kama simu naweza...
  15. C J

    Dealers (suppliers) wa electric motors

    Kuanzia horsepower ngapi unataka? Be specific sambamba na ukubwa wa mzigo unaotaka
Back
Top Bottom