Veta ni Jipu liliova

C J

Member
Jul 21, 2016
77
60
Wakuu nikili tu kuwa hii taasisi ya ufundishaji mafundi ni jipu lililoiva kabisa, Nina kijana wangu Amememaliza Veta fani ya Ujenzi mwaka juzi October 2015 mpaka ninavyoandika hapa vyeti havijatoka ile hali ni mwaka na miezi mitatu imepita, kijana nimemtafutia kazi tatizo ni cheti hana wala transcripts inasikitisha hii taasisi ya VETA kwanini inaendeshwa ovyo ivi? Au kwa vile ina wadahili failure ndio mana haiwajali?
 
Kwa hili kweli kuna shida. Lengo mahsusi la kisaidia vijana linakwamishwa kwa either uzembe au kutojali
 
Back
Top Bottom