Recent content by bwanashamba

  1. B

    JamiiForums Tanzania warembo warembeka

    Me picha kma izi uwa napata wakati mgun sana,lazma ntangulize mikono mfukoni kwanza ndo niangalie teh teh
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sijui tunaenda wapi?

    mwanangu itakua wanavaa uzi tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

    wee mwenyewe umechakachuliwa.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    umu jf mi napaogopa kuna wataalamu wa kila k2,kwaerini me cpo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    Ila ukirudi utupe majib pls
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mumeo bwabwa!!!!

    Baba enock umenikumbusha ma mbli kidogo,CASABLANCA,BAMBOO,na G8,pale ni noma kwa mipunga!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mademu wa kihaya

    tupe kabila!me mchaga na januar nampeleka machame nkuu,ww?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dunia IMEKWISHA. Chekini BWABWA hili

    Lkn paka jimy mbna wote mabaunser.usik enda ukajikuta wewe ndio unakua bwabwa? Ila mungu asaidie kutulinda zaid
  9. B

    JamiiForums Tanzania Vipi ile sruali aliyovaa JK?!

    Acheni porojo bwana kwani ile surual yakn ya makamu mbna zkn vzuri tu,
  10. B

    JamiiForums Tanzania Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    nimechannganya mambo,nilisoma kichwa cha abari vbya ,si unajua tena Safari Lager moto wake.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    Dada nimefuatilia sana link yako hih me nlikua najua we ni he kumbe ni she/na kama ni she basi dadaangu au mamaangu'fanya yafuatayo,mweshimu mmeo kama umeolewa,mchumbaako kama aujaolewa,pia jieshimu we mwenyewe kama bdo ayo yote,mwambie sipo tayari kwa ayo mambo, na atakueshimu na ataanza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kama kweli basi miye nimekuja kuwaaga!

    kwaerini mmenishinda!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama kweli basi miye nimekuja kuwaaga!

    mwanangu umevunja mbavu sana,teh teh acha uoga,umalaya wao tu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania JF wamo wanaopenda ?????????????????????

    Me nlimpata jamani ila tulipoona mii so mwanangu,nliyeyusha sio mimi nlikua nakusubiri apa teh teh
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

    kiongozi kuna cha kuoji tena apo kwea pipa ukakandamize mambo ayo.
Back
Top Bottom