Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

2005 Sikumpa Kura Yangu JK hakuwafanyia lolote la maana wakazi wa Chalinze alikowatumikia kwa miaka 15 ; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK Kwa Sababu JK anakenua kenua meno hovyo bila utendaji. Siwezi Kutoa Kura Yangu kwa anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji. Anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji.
.
Nimeiboresha signature yako mkuu.......pamoja sana
 
2005 Sikumpa Kura Yangu JK; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK. Kwa Sababu JK Ni Chekibobu. Siwezi Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Chekibobu Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu Chekibobu JK..
Duh! kila nikisoma hii saini, huwa nacheka sana!
Hivi ulifikiria nini?
 
Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .
 
Chadema hawapo kimya ndg yangu. Kama unafuatilia vizuri taarifa, zinadai kuwa bado wanacollect nakala za matokeo halisi za kila kituo nchi nzima, wakishamaliza, Mwembeyangaaaa!!!
 
Niliona thread moja jana kuwa Kesho 14/11/2010 Dr. Slaa na Bw. Mpendazoe watakuwa Tabata kuungurumia huko! Je, itakuwa saa ngapi? Je, TV gani? Redio gani? Wenye taarifa pls
 
Kukawia kunatokana na tabia ya maaskofu ambao nasikia wametumwa tena na JK kwa Slaa kumsihi asizitoe hizo nakala za matokeo (za vituoni na za NEC).
 
TANGAZO DR SLAA NA MBUNGE ALIYECHAGULIWA KUWAKILISHA JIMBO LA SEGEREA MH MPENDAZOE WATAUNGURUMA KTK VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI LIWITI ILIYOPO TABATA NJIA YA KWENDA SEGEREA JUMAPILI YA KESHO KUANZIA SAA NANE MCHANA USIKOSE KUMUONA NA KUMSIKILIZA DR WA UKWEL TANGU UCHAGUZ ULPOKWISHA WOTE WATATOA SHKRAN ZAO(ILA MPENDAZOE... WALMCHAKACHULIA KURA ZAKE KUNA MBUGE MMOJA ANAITWA JAMBAZI NI MMILIKI WA BAR KUBWA TBT INAITWA NYANTARE SI MWINGNE NI MAKONGORO MAHANGA )

Wajameni habari hii nimeipata kwenye facebook mwenye uhakika na hili atujuze.

Source: Dodoma, Tanzania | Facebook
 
Ahsante sana, tunasubiri kwa hamu kubwa saana. Nadhani ndo mwanzo wa mapambano dhidi ya hawa wanadhurumaji wa haki ya mtanzania aka Wachakachuaji Wakuu.
 
Moja kati ya falsafa nzuri kwa wanaoelewa ni kukaa kimya kabla ya kufanya jambo lolote kubwa. Falsafa hii imetumika sana na mara nyingi imekuwa na mafanikio. Chadema hawapaswi kukurupuka wana paswa kufanya analysis kwa ajili ya vitu viwili. Kwanza kutorudia kosa chaguzi zijazo na pili kupata nyenzo za kuwafundishia wananchi namna wanavyoendelea kulazimishwa kukaa chini ya udikteta wa CCM. CUF kwa namna moja wamekubali kuwa chini ya mwanvuli wa CCM na hapo ndio kata roho ya CUF Amini usiamini kimepoteza sifa ya kuwa chama cha upinzani.
 
Angalau aseme kitu asikae kama bubu na ombi kwa wana jamii walioko Dar. Full suppurt kwenye huo mkutano wa mheshimiwa Rais wetu wa halali aliyechaguliwa na wananchi na kuhudhuria pia tujue cha kufanya tumechoka na pia msisahau kutakuwa na wambea wa kutosha hasa wa usalama wa taifa waliokosa mwelekeo ambao kazi zao walitafutiwa na wajomba zao na sio kwa sababu wana uwezo wa kufanya kazi na ndiyo mana walitumika kuchakachua matokeo
 
wee mwenyewe umechakachuliwa.
 
SAFI DR wa ukweli, kesho washa moto na huo ndio uwe mwanzo wa ukombozi, nitajitahidi kuhudhuria.
 
TANGAZO DR SLAA NA MBUNGE ALIYECHAGULIWA KUWAKILISHA JIMBO LA SEGEREA MH MPENDAZOE WATAUNGURUMA KTK VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI LIWITI ILIYOPO TABATA NJIA YA KWENDA SEGEREA JUMAPILI YA KESHO KUANZIA SAA NANE MCHANA USIKOSE KUMUONA NA KUMSIKILIZA DR WA UKWEL TANGU UCHAGUZ ULPOKWISHA WOTE WATATOA SHKRAN ZAO(ILA MPENDAZOE... WALMCHAKACHULIA KURA ZAKE KUNA MBUGE MMOJA ANAITWA JAMBAZI NI MMILIKI WA BAR KUBWA TBT INAITWA NYANTARE SI MWINGNE NI MAKONGORO MAHANGA )

Source: Dodoma, Tanzania | Facebook

Are you sure with the news?siyo tunaenda halafu nothing is there.Kindly be sure and report back to us.Thanks
 
Chadema ninawaheshimu na kuwaombea kwa Mungu mzidi kuimarisha pipos pawas!!!!!!!!!!!!!!. Igeni mbinu aliyotumia Mwalimu Nyerere baada ya uhuru yeye mwenyewe alivua kofia ya uwaziri mkuu kama hatua muhimu kujenga msingi kwa kuanzia chini grassroot, kutoa elimu ya kile alidai na kupata(uhuru)-kuelimisha maana na malengo, na maadui wake na jinsi ya kufikia malengo baada ya kuelewa. Mwalimu aliwekeza BILA KUCHELEWA kwenye pipos pawa!!!!!!!!!!
CDM mmeanza vizuri sana; matukio ya Nyamagana, Kawe, Ubungo, Arusha, Mbeya, Iringa nk yamethibitisha kwamba mbele ya pipos pawas hakuna nguvu ya ufisadi inayoweza kusimama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
CDM mna mwanzo mzuri sana:-
1: mmeshuhudia moto mkubwa wa matumaini mliokwisha washa kwa ilani yenu iliyotikisa ulimengu wa wasomi na wasio wasomi katika jamii!!!!!!!!!
2: serekali kivuli katika bunge, yenye wabunge wenye upeo na uwezo mkubwa sana wa kujenga, kuelezea na kushinda kwa nguvu za hoja zenye mwelekeo wa kuondoa kiu ya moto mpya mliowasha- mmeonjesha jamii ya kizazi kipya matumaini mapya kwa mema mengi yaliyo mbele yetu kwa falsafa ya YES WE CAN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwa silaha ya dhamira ya kisiasa-political will!
3: Tumieni sasa nafasi hii ya kipekee kujenga tangu chini kama alivyofanya Mwalimu chama cha "wenyewe" ambacho ndicho sasa kitaendeleza moto ulioanza ili kuleta haraka kupatikana kwa Tume Huru ya Uchaguzi, na hatimaye Katiba Mpya ambazo ndiyo msingi katika ujenzi wa jamii hiyo.!!!!!!!!!!!!. Mkiweza kuwafanya pipos wakaelewa madhara na kuchukia utawala unaotumia ujinga wa jamii kama mtaji wa kuendelea kuimarisha na kudumisha utawala wa kifiasadi ambao hatima yake ni ujenzi wa jamii iliyozama katika ujinga, maradhi na umaskini-mafisadi hutumia matrilion na mbinu chafu kuingia madarakani, kufuatiwa na uporaji mwingi wa raslimali za nchi kurudisha matriliono yaliyotumika na kuanza kukusanya matrilioni za kuingia awamu zinazofuata- hivyo bila kuandaa jamii iliyoelewa na kuwa tayari kuendeleza pawa sawa sawa na yaliyowezekana Nyamagana!!, Arusha!!, Mbeya!!, Kawe!!, Ubungo!!, nk. sasa itakuwa ni kila jimbo!!!!!!!!. Mbele ya pipo pawa!!!!! ya walio tayari kudhibiti hizi mbinu uchwala za kupora haki za wanyonge!!!!!!!!!!! hakuna jiwe linaloweza kusimama bila kupinduliwa!!!!!!!!!!!
Make CDM progressive mass party-mmeanza vizuri-msiache moto upoe-twende mbele!!!!!!!!!!! LONG LIVE CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Past is history for generating challenges for future strategic moves!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .

Kuungana na CCM maana yake unafurahika na kile walichokifanya miaka 50 iliyopita au ni dhiki na uroho wa madaraka tu. CUF wamefanya kile walichofanya na dunia imeona. Sidhani kama uongozi wa juu wa Chadema wanaweza kukiamini tena chama cha CUF. Sidhani.
 
Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .

Wewe unataka au unashauri wafanye nini kwa sasa? Nahisi wewe ni miongoni wa waliokuwa wanasema CHADEMA itamwaga DAMU. Na haya yalitamkwa ikijulikana kuwa matokeo yataibwa/Kuchakachuliwa.
 
Back
Top Bottom