Recent content by bwanamau

  1. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi story za kuwa fid Q ni marioo zina ukweli wowote?

    Sorry acha Story za umbea
  2. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

    Labda Itakuwa ni muendelezo Story ikishakua kubwa(ndefu) ampalekee shigongo itafaa zaidi.
  3. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia: Huyu ndio mwanaume mwenye uume mrefu zaidi duniani

    Heshima itawale mkuu naona unaelekea siko ni heri urudi kwenye mada kuliko unachokitafuta ndugu
  4. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Wanao shabikia CCM. Tambueni kwamba haya yanayotendeka hayaishi leo. Yatakuja wasibu watoto wenu, mnatuharibia nchi, mnasherehekea dhulma, watu wanapigwa na polisi kisa wamekusanyika kusalimiana na kiongozi wao, Tambueni kwamba mwisho wa yote Mungu atawalipeni. Leo kwetu kesho kwenu
  5. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

    Madhara yapi mkuu
  6. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

    Chooni
  7. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Tutanue ubongo hapa

    Si amesema watoto au vipi hap
  8. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

    Vipi kuhusu hereni bangili pete na cheni zile za dhahabu ya kupaka
  9. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Mimi sina Dini, Nitapata Mke Mwenye itokadi kama yangu?

    Mkuu Evelyn Mwanaume kuoa akiwa na 25 kunatatizo gani?
  10. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Namshangaa huyu jamaa yetu Jokolilo

    Jokolilo jina lake utotoni ni Joloe #FreeMaxenceMelo
  11. bwanamau

    JamiiForums Tanzania Jielezee wewe mwenyewe kwa neno moja tu

    Mjinga
Back
Top Bottom