Tutanue ubongo hapa

Kim Il Kwon

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,221
2,000
Kwenye kaya/familia ya Mzee Mwita kuna watoto 2 wenye umri chini ya miaka 5, wa4 wenye zaidi ya miaka 5, mjamzito mmoja na mke mmoja. Kaya ya mzee Mwita ina vyandarua viwili vilivyotiwa dawa. Usiku wa kuamkia jana waliotumia chandarua ni mjazito na mtoto mmoja chini ya miaka 5.
1.Taja idadi ya watu katika kaya hii.
2. Ni wanafamilia wangapi hawakutumia chandarua usiku wa kuamkia jana?
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,505
2,000
1.idadi ya watu ni 9 katika kaya hii
2.wanafamilia ambao hawakutumia chandarua ni 7

Workings
1 mzee mwita mwenyewe
2 watoto wenye umri chini ya miaka 5
4 watoto wenye umri wa miaka 5
1 mjamzito
1 mke
thus:-(1+2+4+1+1)=9
 
jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,883
2,000
Jibu ni
a) 8 yaani mama mjamzito=mke,watoto wa2 chini ya miaka mitano = mtoto mmoja mdogo + mwingine aliyepo tumboni kwa mama yake+ mzee mwita.

b) jibu ni 5. Waliolala ni mama mwenye ujauzito n katoto kake tumboni na mtoto mwingine chini ya 5yrs na wasiolala ni watano.Watoto wanne wakubwa na Baba yao mzee Mwita.
 
watoto 4 wenye zaidi ya 5yrs hujawaongelea
 
Kim Il Kwon

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,221
2,000
Jibu ni
a) 8 yaani mama mjamzito=mke,watoto wa2 chini ya miaka mitano = mtoto mmoja mdogo + mwingine aliyepo tumboni kwa mama yake+ mzee mwita.

b) jibu ni 5. Waliolala ni mama mwenye ujauzito n katoto kake tumboni na mtoto mwingine chini ya 5yrs na wasiolala ni watano.Watoto wanne wakubwa na Baba yao mzee Mwita.
umejuaje kama tumboni kuna katoto kamoja?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom