Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

Mie huu uhusiano naunga mkono kwa zaidi ya asilimia 100.
Namkubali sana bro Putin. Warusi ni watu wa kuaminika hawanaga usaliti mwishoni. Natani sana nchi ya kwanza kwa Bro Magu kuitembelea nje iwe Russia. Hawa jamaa wakiamua kuwa nawe pamoja ni uhakika zaidi sio wale wa kule magharibi wanafiki watupu tu.
Si unaona jinsi anavyoisapoti Syria kwa asilimia zote.
All the best Tanzania And Russia Relationship.

Viva JPM in Tz
Viva Putin in Russia
 
Madhara yake itategemea uhusiano utakaokuwepo kati ya Rais mpya wa Marekani - Trump na Urusi. Uhusiano ukiwa mzuri hata uhusiano wetu na Marekani utakukuwa sio mbaya.
 
Kwanza kabisa naiamin saaana nchi yng kwa maamuzi yake haikurupuki..lkn pia naipenda saana russia kwn c wanafiki km wamarekan na washirika wao,nataman cku 1 nikickia wameweka base hapa kwetu.welcome mwana judo putin..
 
Ninavyofahamu mimi ushirikiano wa Tanzania na USA ni wa kiuchumi na kibiashara zaidi na siyo masuala ya kijeshi...naishia hapo kwani masuala ya jeshi ni nyeti, siyo kuzungumzia mambo hayo mtandaoni, ni masuala yanayohusu usalama wa nchi...
Mkuu umesema na mwenye macho ajionee.
 
Viva JPM in Tz
Viva Putin in Russia
Kumbe ndiko tunakoelekea! Asante mleta mada, yapo mambo yamekuwa yakinitatanisha lakini sasa naanza kuelewa. Kumbe tunafuata nyayo! Upinzani mlie tu, hii nchi imepata Putin wake na itanyoka tu. Nilikuwa nikijiuliza haya mazoezi mitaani yanaashiria nini...naam hayakuanzia kwetu.
 
Putin
 
Back
Top Bottom