Namshangaa huyu jamaa yetu Jokolilo

Namshangaa huyu jamaa yetu Jokolilo

Huku alikokanyaga sasa siko kabisa kuna kitu anakitengeneza madhara yake ni makubwa kuliko kupekua watu majumbani...
 
duh fasihi hiyo bana weweee mleta utakuwa mwl wa kiswahili nini?
hapo sungusungu hawawezi kuona ndani na ile sheria ya mitandao itakupitia mbali kwa fasihi yako,heko mkuu
 
Watu hatuna raha nchini mwetu! Maisha magumu kodi mpaka kwenye vocha za simu bado hata huku tunakopumulia na kushusha pressure nako mnatufuata? Hapana hii sio sawa [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Watu hatuna raha nchini mwetu! Maisha magumu kodi mpaka kwenye vocha za simu bado hata huku tunakopumulia na kushusha pressure nako mnatufuata? Hapana hii sio sawa [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Magazeti yanabanwa, redio zinabanwa, tv zinabanwa, bunge linabanwa bado mpaka huku wanataka kubana
 
Back
Top Bottom