Recent content by Bwana Msa

  1. Bwana Msa

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    Mhuh! 40K @ jino ukiwa na meno timilifu 32 gharama ni 40K x 32 =1200K Ni gharama kubwa ila si kitu kwani ilisemwa kuwa ukitaka UZURI sharti UZURIKE!
  2. Bwana Msa

    Hadithi: Jini Mweusi

    Dickson! Mwenyekiti wa CHAPUTA tawi la TOSAMAGANGA 1998_2000 na Katibu wa CHAPUTA tawi la MLIMANI 2001_2004.(CV yake inam'beba hata kuwania UBUNGE) Riwaya nzuri yenye maudhui yenye kusadifu mazingira halisi! Mambo haya yapo sana katika jamii zetu! Ahsante sana.Endelea kutupa RAHA na AFYA za...
  3. Bwana Msa

    Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Professor Jay wa Mitulinga (a.k.a Mti Mkavu) Course Instructor-(Functions of Several Variables)
  4. Bwana Msa

    Malkia Vashti chanzo cha kiburi kwa wanawake duniani

    Ahsanteni nyote kwa maoni yenu! Me ninapita! Kwangu Mimi,kusoma ni BORA kuliko KUANDIKA! Hasa Yale nisiyo na hakika ama ujuzi nayo.Ahsanteni.Nimejifunza yenye maana!
  5. Bwana Msa

    Tweet ya Nape inamlenga nani anaekurupuka mipango

    Mnhh! Tuwaachie wajuvi wa mimambo watujuze!!! wacha nitandike kirago changu hapa chini ya mchungwa!!! Nainjoi tu kwa kuwa Mtanzania. Taifa Changa Lenye Watu Vigeugeu na Wabinafsi kuliko fisi!!!
  6. Bwana Msa

    Hadithi ya mashimo ya mfalme Sulemani

    Hainichoshi kuisoma riwaya hii ingawa nimekuwa nikiisoma tangu ningali kijana mdogo hadi salsa! Hakika ni riwaya nzuri na yenye milima na mabonde yenye kusisimua moyo na akili pia bila kusahau kuongeza imani juu ya uwepo wa Mungu, Muumba mbingu,ardhi na vyote vilivyomo humo (vilivyo bayana na...
  7. Bwana Msa

    Kocha Lwandamina aikacha klabu yangu ya Yanga SC, atimkia Zesco

    Doh! Mbona anatuacha katika kipindi ambacho tunamuhitaji zaidi? Angefanya subira tumalizane na mnyama kabisa? Au amezichungulia nyingi na kuiepuka fedheha! Maana jamaa mwaka huu wamejipanga zaidi! Kila la kheri mzee George Lwandamina kocha ambaye umeiacha athari chanya kwetu Wana yanga...
  8. Bwana Msa

    Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

    Mh! Sina shida na sifa za mchungaji huyo wa kondoo ila upendo uliotajwa na mtoa mada hapo juu ulimaanisha hasa kuwa yu ampenda hasa kama mwalimu na mlezi wake kiimani ama ule wa kutamani awe mlezi na baba wa watoto wake? Ni sentensi tata hasa kwetu sisi wa darasa la tatu A.
  9. Bwana Msa

    Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    Mhu! Wenzangu humu povu limewajaa! Wacha niende kuleeee!!!!
  10. Bwana Msa

    Ingelikuwa Ni Wewe Ungalifanyaje Jamani? NISAIDIENI!!!!

    He! Watu wanapenda kujificha migongoni kama watoto wachanga! Ni ajabu kwa viumbe sisi tuitwao wanadamu ni wakaidi kuliko viumbe vyote uvijuavyo! Na ni kwa sababu hii Mungu Alileta Mitume Yote Ikiwa ni Binadamu na wala si ngamia,mbuzi ama vinginevyo! Napata hisia kwamba wapo wanaotamani hata...
  11. Bwana Msa

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Naomba thread hii ibaki katika platform hii na uje uusome tena ujumbe wako huu baada ya miaka mitatu mbele! Hakika utajichukia mwenyewe kwa hili unaloliwaza sasa! Its just a matter of maturity mdogo wangu! Kwa sasa huenda ukawa unazungumza ukweli mtupu unaokukabili ila ninaporejea katika umri...
Back
Top Bottom