Tweet ya Nape inamlenga nani anaekurupuka mipango

Tweet ya Nape inamlenga nani anaekurupuka mipango

Naunga mkono hoja......[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Likirushwa jiwe gizani utaskiaa tu "yalahh"

Ova
 
'Mimi Mkoa wangu naongoza walevi, watumia dawa Za kulevya, Malaya, matapeli ,mabalozi Na Viongoz. Wengine wanaongoza wakulima tu'- Mwenye Mkoa wake
angeongeza na watoto wanaozaliwa machupa na mazezeta
 
Mnhh! Tuwaachie wajuvi wa mimambo watujuze!!!
wacha nitandike kirago changu hapa chini ya mchungwa!!! Nainjoi tu kwa kuwa Mtanzania.
Taifa Changa Lenye Watu Vigeugeu na Wabinafsi kuliko fisi!!!
 
Back
Top Bottom