Kocha Lwandamina aikacha klabu yangu ya Yanga SC, atimkia Zesco

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi

Yule kocha mbabe George Lwandamina wa Yanga SC ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya Zesco fc

Taarifa inayozagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tayari ashasain Zambia na mkataba wake na Yanga unakamilika mwez wa tano mwishoni.

Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana

Ni kocha ambaye anaweza kupanga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo

Kwaheri Lwandamina bye bye

LONDON BOY
 
Aman iwe nanyi

Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc

Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon

Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana

Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo

Kwaher lwandamina bye bye

LONDON BOY
Mkuu siyo mwishoni mwa mwezi wa tano,ni mda wowote kuanzia sasa!
 
Pesa yanga pesa Hakuna pesa Hawana uwezo WA kumbakisha tena huyo kocha.
 
inawezekana kachunguza kaona maji yanazidi unga kaamua kusepa kuliko kufa na tai shingoni.
 
Hata akiondoka yanga haimaanishi kuwa sio kocha mzuri! Technically ni miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa sana kuwaandaa vijana wasionekana kuwa na mchango mkubwa kwenye timu na kuwapa nafasi...mwisho wa siku wanampa matokeo.
 
Nilikua namkubali kwa kuwaamini vijana...vijana aliowaacha yanga wakitengenezwa vizur watakua tishio
 
Mujibu wa mwanahabari wa Zambia, aliehojiwa Cloud Radio. Lwandamila, hakuondoka Zesco, kwa kupenda, Bali alimkimbia mtu pale, yeye alitakiwa kuwa kocha msaidizi, sasa yule jamaa ameondoka, ameona bora arudi kwao Zambia, si unajua ilivyovizuri kufanyia kazi nyumbani.
 
Aman iwe nanyi

Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc

Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon

Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana

Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo

Kwaher lwandamina bye bye

LONDON BOY
Lipeni mishahara, sasa hivimtaskia Ajibu kasaini Azam , Kamusoko kafiwa, Chirwa anauguza Zambia, Shishimbi mgonjwa and the like stories..
 
Aman iwe nanyi

Yule kocha mbabe lwandamina wa yanga fc ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya zesco fc

Taarifa inayo zagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tiar ashasain zambia na mkataba wake na yanga unakamilika mwez wa tano mwishon

Kocha huyu atakumbukwa kama kocha mvumulivu sana

Ni kocha ambaye anaweza panga wachezaji wasio na majina kama mhilu na akachukua matokeo

Kwaher lwandamina bye bye

LONDON BOY
Kuna mtu anapenda kukaa na njaa? Hebu jaribu kuvaa viatu vyake uone kama ungeweza kuvumilia ‘kufunga’ kwa lazima.
 
Yanga wamepita wengi , mfano :Sande manara(computer), Lunyamila nk, Ni kweli yanga inapita katika wakat mgumu, Ila msababishaji Mkuu ni Clement Sanga, na alivyoshirikiria ndugu zake wa nyanda za juu kusini, ambao hawana rekodi yeyote ktk soka.Timu ya kariakoo haitakiwa kumkosa m sm mmoja. Poor Sanga mpenda madaraka.
 
Doh! Mbona anatuacha katika kipindi ambacho tunamuhitaji zaidi?

Angefanya subira tumalizane na mnyama kabisa? Au amezichungulia nyingi na kuiepuka fedheha! Maana jamaa mwaka huu wamejipanga zaidi!

Kila la kheri mzee George Lwandamina kocha ambaye umeiacha athari chanya kwetu Wana yanga!

Tunafahamu kuwa umeichukua timu yetu ikiwa katika kipindi kigumu kiuchumi na majeruhi wengi miongoni mwa wachezaji wetu waandamizi hata hivyo,ulijenga imani kubwa kwa vijana na hata leo unapotuacha bado tunajivunia kikosi chetu chenye chipukizi wenye ushindani si tu kwa michezo ya ndani,bali hata kimataifa pia!

Hata tutakapofamikiwa kuingia hatua ya makundi ya shirikisho baada ya kumalizana na Wahabeshi,bado ni wewe ndiye utakuwa umebaki kuwa ni jemedari halisi wa kikosi chetu hiki!

Ahsante na kila la kheri Baba! Maisha ni popote na kamwe hatutoubeza mchango wako kwetu na pia yamuzi unaogusa maisha na maslahi yako binafsi!
 
Kocha wanamlisha mihogo kutwa nzima anagonga miayo kwenye benchi, fuso achukue kiti mihogo inamfaa
 
Back
Top Bottom