Recent content by Buseresere

  1. Buseresere

    Wilaya ya Hai kijiji cha Tindigani ndicho chote kapewa Mjomba wa Omani? Hii sio sawa

    Inamaana vijiji vinauzwa na wachaga wenyewe hawawezi hata kujitetea na kutetea aridhi yao, hii inasikitisha sana. Tuendelee kukaa kimya hivi ila kila mtu atafikiwa
  2. Buseresere

    JamiiForums Usiku wa manane

    Njoo huku
  3. Buseresere

    Husband is needed

    Karibu vitu vyote unavyo vihitaji vigezo ninavyo, isipokiwa hilo la sogea tuishi kwanza, nafungaje ndoa sasa pasipo kufahamiana vizuri.
  4. Buseresere

    Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaam Tuma msg kwa 0763152615
  5. Buseresere

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Themi enterprises Watengenezaji na wasambazaji wa viungo vya chakula, kwa jumla na reja reja. Tupigie kwa 0763152615 au 0686747276 Karibu tukuhudumie
  6. Buseresere

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Themi enterprises Watengenezaji na wauzaji wa viungo vya chakula kwa jumla na reja reja, Tupigie kwa 0763152615
  7. Buseresere

    Nyumba ya kulala wageni Jijini Dar hususan maeneo ya Kinondoni

    Kama ww unahitaji kuja kuishi jijini Dar es salaam, na huna pahala pa kufikia eleza hapa ili upate kusaidiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Buseresere

    Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

    Hacha waendelee kujipendekeza lakini hawatovuna chochote zaidi ya kuendelea kupiga makofi2
  9. Buseresere

    Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

    Ww unafikiri kwakutumia nn asee, maana naona fikra zako kama vile zimefika mwisho mbele unaona giza2
  10. Buseresere

    Nawezaje Kutambua mahali ilipo simu kwa kutumia IMEI au serial number

    Habarini za leo wadau. Naomba msaada jinsi gani naweza kupata simu yangu iliyo potea kwa kwa kutumia IMEI number, niliibiwa simu na mkoba wa laptop ukiwa na document muhimu sana. ahsanteni
  11. Buseresere

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habarini za kazi, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...
  12. Buseresere

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Habarini za kazi, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...
  13. Buseresere

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    nimekuelewa mkuu, lakini tatizo hili lilianza kunisumbua toka nikiwa mdogo sijamaliza hata kidato cha nne, na hata nilikuwa sijamjua mwanamke, pia sivuti sigara wala sinywi pombe
Back
Top Bottom