Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

Magufuli anatosha, atawale muda mrefu

Ukweli ni kwamba Magufuri ni mzalendo wa kweli. Anaweka masilahi ya Tanzania mbele. Itapendeza awe Raisi wa maisha (Life President)
Asante....
 
Hapa nilipo namuomba malaika mtoa roho kila siku kila saa ili alipeleke jiwe hili kuzimu likatumike kama kalio la shetani
Jifunze ku_appriciate.
 
*"Erick Kabendera is not the only victim of Mage's reign of terror. He is one of an increasingly long list of opposition leaders and activists, journalists, bloggers, and civic leaders who have been targeted due to their political opinions."

Us or Else....
 
Jifunze kuheshimu serikali....Siri Kali...cheza mbAli na wajomba..
 
Mwl.Nyerere alitawala miaka 27 lakini alipoachia madaraka yale yote aliyoyapigania yalifutika au yaliyeyuka kwa kazi sana.
Magufuli hata angetawala awamu nne,watanzania ni wale wale wa jana na leo,watarudi kule kule.
Vipindi viwili vinatosha,kama waliomtangulia.
 
Atawale muda mrefu wewe na familia yako.Atawale muda mrefu ili muendelee kuteka , kuua ,kufunga watu kwenye viroba muda mrefu eti .
 
Kama unataka kutawaliwa, tawaliwa wewe na mama yako na mmeo. Sisi hatutaki tutawaliwe
 
Back
Top Bottom