Recent content by Burungutu la pesa

  1. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Kurudia mtihani

    KANYIGO SEC
  2. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Nani yupo Moscow tuonane nipate kampani

    Nimekumbuka mbaaaaali hasaaa mji wa NOVOSIBIRSK ndan ya NOVOSIBIRSK OBLAS Kuna masanga ni hatar kama watumiaji wa masanga bas wapo hapo, Jamaa hiyo mitaa ya mablack wanapokwenda kuburudika utakutana na wabongo wengi tu ila wanaigeria ni wengi zaid hapo. Na wapo ambao wana marafiki wabongo na...
  3. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Nani yupo Moscow tuonane nipate kampani

    Mkuuu nakumbuka saaana Mji wa KAZAN patam sana ndan ya TATARSTAN I WISH TUNGEONANA ILA MWAKAN NTKUWA SAMARA KAMA UTAKUWEPO NTAKUTAFUTA
  4. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wadada wanaotafuta mahusiano/ndoa JF wengi graduates

    NADHANI,LABDA,HUENDA,INAWEZEKANA NDIO WENYE UWEZO MKUBWA WA KUTUMIA SMART PHONE HALAFU SI UNAJUA KUWA WALINUNUA SMART LILE BOOM LA KWANZA, KWA HIYO WANA MAUJANJA YA KUTUMIA SMART KITAMBOOOOOO!!!!????
  5. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

    Kuna siri kubwa sana sababu ya Muumba kuweka rangi tofauti tofauti, lakini MUNGU anasema palipo na UPENDO pana MUNGU.
  6. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Naukumbuka ushauri wa Bibi

    Heeeeeeeee!
  7. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

    Wapo wengi wenye sifa hizo ila wanatabia zingine chafu zaidi je, utavumilia tu????
  8. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaoishi kanda ya Ziwa, Tufahamiane Hapa.

    Ngw'anza
  9. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    nimekufuatilia vzr kama huwa unaachwa with no reasons, una tatzo na jini mahaba yaan pepo la ngono ambalo halihitaji uendelee na mahusiano na wanaume wengine so waweza ni pm namba yako au utafte mtumishi wa MUNGU aliye nguvu za kuharibu huyo pepo. Msaada zaid upo ila nawe ubadilike na kuishi...
  10. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Damu yetu haikumwagika Bure Uganda, Tunalipwa!

    safi mseven
  11. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    WALIMU, ALIYEKO BABATI MJINI TUWASILIANE 0629202021
  12. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Sihusiki Zanzibar

    hayooooo yamemkuta jecha
  13. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

    ahsante sana nimependa kaz yako
  14. Burungutu la pesa

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa wabunge wa Upinzani baada ya kutolewa bungeni jana

    ni maajabu kutumia hesabu za darasa la kwanza kujibu mtihani wa hisabati wa formu six.
Back
Top Bottom