Naukumbuka ushauri wa Bibi

geee kay

Senior Member
Mar 21, 2015
112
225
Nikiwa ni mwanafunzi niliyesomea shule ya kata, ambapo kutokana na Ukosefu wa walimu wa sayansi, Headmaster aliamua kufuta masomo ya sayansi, na hivyo shule yetu kusajiliwa kwa masomo ya arts tu kwenye mtihani wa Taifa, tulibahatika kufaulu wawili kwa daraja la tatu, ambapo pia nilichaguliwa kujiunga kidato cha tano, huku kipindi hicho kutokana na bibi yangu kuwa namsumbua alinishauri nisiende kidato cha 5 nijiunge na ualimu ngazi ya cheti, kama rafiki zangu wawili ambao walikuwa na daraja la 4, lakini niliamua kuendelea na masomo ya advance ambapo nilisoma HGE na kufanikiwa kufaulu kwa daraja la 1, na kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam, na kusomea masomo ya Geography na Uchumi, huku kipindi nasoma bibi yangu ananiuliza mbona wenzako washaajiriwa, nikawa nampa matumaini kuwa na mm nakaribia, huku yeye kila akiniona huwa ananiuliza kama nishaajiriwa kama wenzangu. Leo Tangazo la Ndalichako limezima ndoto zangu, japo naamini mpaka sasa njia niliyoitumia ni sawa naamini nitafanikiwa hata kama ni kupitia tofaut na Elimu...........Ipo siku nitainuka my bibi.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,083
2,000
Kwanini ulipata div 1 ukaenda kusoma education?? Inaonyesha una ipenda ndio maana ukaichagua, sasa unacholalamika ni nini??
 
SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,665
2,000
wenye Bcom ajira zao wanasubiria kichiz .....ila umenipa machungu sana nimekumbuka mbali mno. .pole sana aisee .......kama Biology ulipata D kasome certificate ya community health bado haujachelewa .....ila huo ushauri wa bibi unvgeufuata ungetoboa ..yaan ungepata kazi grade A halafu ukajiendeleza ...........
 
geee kay

Senior Member
Mar 21, 2015
112
225
wenye Bcom ajira zao wanasubiria kichiz .....ila umenipa machungu sana nimekumbuka mbali mno. .pole sana aisee .......kama Biology ulipata D kasome certificate ya community health bado haujachelewa .....ila huo ushauri wa bibi unvgeufuata ungetoboa ..yaan ungepata kazi grade A halafu ukajiendeleza ...........
Vp community health ina ajira kwa sasa
 
maharco

Senior Member
Nov 28, 2015
116
225
Nikiwa ni mwanafunzi niliyesomea shule ya kata, ambapo kutokana na Ukosefu wa walimu wa sayansi, Headmaster aliamua kufuta masomo ya sayansi, na hivyo shule yetu kusajiliwa kwa masomo ya arts tu kwenye mtihani wa Taifa, tulibahatika kufaulu wawili kwa daraja la tatu, ambapo pia nilichaguliwa kujiunga kidato cha tano, huku kipindi hicho kutokana na bibi yangu kuwa namsumbua alinishauri nisiende kidato cha 5 nijiunge na ualimu ngazi ya cheti, kama rafiki zangu wawili ambao walikuwa na daraja la 4, lakini niliamua kuendelea na masomo ya advance ambapo nilisoma HGE na kufanikiwa kufaulu kwa daraja la 1, na kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam, na kusomea masomo ya Geography na Uchumi, huku kipindi nasoma bibi yangu ananiuliza mbona wenzako washaajiriwa, nikawa nampa matumaini kuwa na mm nakaribia, huku yeye kila akiniona huwa ananiuliza kama nishaajiriwa kama wenzangu. Leo Tangazo la Ndalichako limezima ndoto zangu, japo naamini mpaka sasa njia niliyoitumia ni sawa naamini nitafanikiwa hata kama ni kupitia tofaut na Elimu...........Ipo siku nitainuka my bibi.
 
proff g

Senior Member
Jul 16, 2016
101
225
wenye Bcom ajira zao wanasubiria kichiz .....ila umenipa machungu sana nimekumbuka mbali mno. .pole sana aisee .......kama Biology ulipata D kasome certificate ya community health bado haujachelewa .....ila huo ushauri wa bibi unvgeufuata ungetoboa ..yaan ungepata kazi grade A halafu ukajiendeleza ...........
Umesahau kuwa headmaster alifuta masomo ya sayansi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom