Recent content by Bupilipili

  1. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Makongo High School...!!!

    "Makongo ilikuwa kipindi cha Col. KIPINGU, alivyotoka tu, na baadhi wa walimu 'vichwa' wakadorora na wengine wakaondoka. Zile adhabu za kuchimba visiki barabarani asubuhi na mchana wakati jua lachoma...zilikuwa zinasaidia na kurudisha wanafunzi kwenye mstari. MAKONGO ya Col Kipindu ilikuwa...
  2. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Utumishi imetema tena nafasi 36

    Ndugu yangu, katika Utumishi/Kazi yoyote kuna level...kuanzia assistant officer hadi Mkurugenzi. Na kila ngazi inataka ELIMU NA UZOEFU WAKE kulingana na Scheme of Service ya taasisi husika. Sasa mnaposingizia sijui wazee, sijui vidingi...we unataka nafasi ya Mkurugenzi/Meneja akae mtu ana...
  3. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

    kaka umemaliza...ni wendawazimu kujifanya eti kuna freemason...watu wauza unga wote wanasingizia sisi ni dini ya freemason...ili wananchi wa kawaida wasijue...
  4. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Amiri(kiongozi)wa shura ya maimam Mussa Kundecha

    wakamatwe tu...tumechoka.
  5. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako: Ningekuwa rais wanawake wasingefanya kazi

    Mwanafalsafa mmoja alishawahi kusema: "Dini ni ulevi kama ulevi mwingine". Nami nasema: "Ni wendawazimu kushangilia ujinga".
  6. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

    "Ni Wendawazimu kushabikia Ujinga"
  7. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Umeme vijijini: futuhi wametoa point ya msingi

    "Ni upumbavu kushabikia ujinga"
  8. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Watoto 22 wafariki dunia baada ya kula chakula chenye sumu shuleni

    Aisee wananchi wamechachamaa huku Bihar palipotokea maafa. Nipo karibu na mji huo, ila SERIKALI ya mji inasema chombo cha kupikia ndo kilikuwa na mchanganyiko na mmiminiko wenye sumu.
  9. Bupilipili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi kuwa pozi za kutegana ni sahihi......!

    Vijana ikimbieni zinaa
  10. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania kwa nini Wana IT msiongeze kipato?

    (Mliman College of Pro. Studies? kimesajiliwa na MAMLAKA ZA SERIKALI MFANO NACTE au wajisomea tu?
  11. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

    Ujinga mtupu
  12. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Margaret Thatcher funeral: a "fitting tribute?"

    As i noted above, All PMs is official stated that she/he will recieve Ceremonial Funeral. No personal wishs or relatives grants.
  13. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania Margaret Thatcher funeral: a "fitting tribute?"

    Mazishi ya Kitaifa- State Funeral ni kwa ajili ya MALKIA au Mfalme au mwana mrithi wa Ufalme wa Uingereza. PM hupewa Ceremonial Funeral, na ndio hiyo aliyopewa Magreth T.
  14. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania CISSP Training Center in Dar es Salaam

    Lets contact Mr. Alphonce. u got my mail and 4n number
  15. Bupilipili

    JamiiForums Tanzania CISSP Training Center in Dar es Salaam

    Thanxs Aqua.
Back
Top Bottom