Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

Mbona imewagusa sana au ndio moja ya mihemko yenu?
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya CHADEMA amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.

Namkubali sana kamanda Ben Saanane bila yeye hii Misukule ya Lumumba isingekuja na ID zao za Ukweli. Na Bado Babu Shigela
 
Last edited by a moderator:
Hata kama ni tukio la kweli halina uhusiano wowote na CDM! Sheria itachukuwa mkondo wake kwa mhusika na sio kwa chama.
 
Huyu atakua kasikia tu story tena kwa bahati mbaya kilichomfanya akimbilie kupost ni aliposikia ni chadema!! Bila hata utafiti akaja kubandika hapa ili naye siku isipite bila kuweka chochote mfukoni. Kama sivyo habari yake angeikamilisha.
 
Mbona imewagusa sana au ndio moja ya mihemko yenu?

Aaaaaah kwani hujawazoea tu hawa ni malaika bwana huwa hawakosei..kitu kimetangazwa kwenye habari ya saa2 lakini bado wanapinga
 
Wana Chadema wenzangu tumpe Uenyekiti Zitto Kabwe kwani haya yote hayawezi kutokea ndani ya Chama chetu.
Hivi mmemuona wakati akichangia Kwenye Bajeti ya Mambo ya Ndani ya Nchi!?

Toa ushabiki wako hapa, unalipwa shs. ngapi? Maana unachoeleza hakina uhusiano.
 
Kata ya Rutoro iko katika Tarafa ya Nshamba, jimbo la Muleba Kasikazini, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Diwani wa kata hiyo Bw. Abubakary Said (CHADEMA) amebambikiziwa kesi ya mauaji ya watu wanne ambao mauaji yao yametokana na mgogoro wa ardhi kati ya Wawekezaji (waliomirikishwa vitaru maarufu kama Blocks) na wananchi.

UFUATAO NI MRORONGO WA TUKIO LENYEWE;
1. Tar.17/04/2013 mlinzi wa Block No.18 linalomilikiwa na Bw. Medard Langile alipeleka mifugo kwenye mashamba ya wananchi na baada ya wananchi kuona wanaharibiwa mali zao kwa asila walimshambulia mlinzi huyo hadi kufariki.

2. Tar.18/04/2013: Walinzi walijikusanya katika eneo hilo hilo la Block No.18 kwa ajiri ya kulipa kisasi. Mlinzi mmoja kati yao alimpiga risasi raia (mwananchi) na kufariki hapo hapo. Wananchi wote walichachamaa na kuanza kuwashambulia walinzi/wafugaji hao. Katika mapambano hayo walinzi/wafugaji watatu walipoteza maisha.

3.Tar.21/04/.2013: RPC kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kagera alifika katika eneo la tukio akiwa na Wawekezaji wawili. Baadaye aliondoka na Diwani pamoja na mtendaji wa kijiji hicho Bw. Josephat Kyeyamba na kuwaweka ndani katika kituo cha polisi cha wilaya ya Muleba kwa maelezo kuwa wanachochea vurugu na migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

4. Tar.22/04/2013: Mtendaji wa kata ya Rutoro Bw. Lameck Byarugaba aliwadhamini Diwani pamoja na mtendaji wa kijiji, na kesi yao ilitajwa tena tar.29/04/2013. Hata hivo walipohudhuria polisi tar.29/04/2013 hawakusomewa mashitaka bali kesi yao ilitajwa tena 6/05/2013

5.Tar.24/04/2013: Mkuu wa Wilaya aliitisha Mkutano kwa ajiri ya kuleta amani katika eneo hilo.Baada ya mkutanoaliondoka na mwenyekiti wa kitongoji Bw.Alcheraus Kahatano na kumweka ndani katika kituo cha polisi Muleba.

6.Tar.27/04/2013: Kwa mara nyingine Mkuu wa wilaya aliitisha mkutano mwingine kwa ajiri ya kuleta amani katika eneo hilo. Alipofika kwa Diwani alikuta kuna Bendera ya CHADEMA ikipepea. Alimuamuru Diwani kuiteremsha bendera hiyo lakini Diwani alikataa.Baada ya mkutano huo Mkuu wa Wilaya aliondoka na watu sita na kuwaweka ndani katika kituo cha polisi Muleba. Kesho yake watu wawili kati yao walipata dhamana.

7. Tar.30/04/2013: Mtendaji wa kata Bw. Lameck Byarugaba alipokea simu kutoka kwa askari wa kituo cha polisi Muleba, Afande Aloyce akimtaka kuwa tar.02/05/2013 awapeleke aliowadhamini (Diwani na mtendaji wa kijiji) kwa ajiri ya kuandika maelezo ya ziada juu ya mgogoro huu.

8. Tar.02/05/2013: Bila kukosa, Diwani na mtendaji wa kijiji walifika kituoni saa 4. Hawakuulizwa chochote zaidi ya kuwekwa chini ya ulinzi. Ilipofika saa6 walisomewa mashitaka mawili ya mauaji na kutakiwa kutojibu chochote zaidi ya kupelekwa mahabusu.

Yatokanayo;
  • Hii inaonyesha kuwa mkuu wa Wilaya alichukizwa na Diwani kukaidi agizo lake la kumtaka ateremshe bendera. Ndiyo maana hakusubiri hata siku ya kutajwa kesi yao yaani tar.6/5/2013 badala yake akawataka wafike polisi mapema tar.2/05/2013



  • Wananchi walioshiriki katika ugomvi huo na kusababisha vifo vya walinzi/wafugaji wanajulikana na tayari wamekimbia kijiji. Pia majina yao yamepelekwa kwa OCD



  • Walinzi/wafugaji waliouawa ni wa Block.No 18 lakini ugomvi na mauaji vilitokea katika Block.No 17. Hii inaonyesha walivokuwa wamejiandaa kufanya uhalifu na vurugu kwa kutumia bunduki zao.

  • Pia cha kushangaza, mtu aliyempiga risasi na kumuua raia/mkulima katika Block No.18 linalomilikiwa na Bw.Medard Langile yupo na hajakamatwa.
 
Upepo unapita...
Ccm kama Ccm umeuwa watu wangapi ...!!!??
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya Chadema amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
Hiki Chama kina shida sana na waumini wake.

Nilidhani ni CHAMA cha WACHAGGA PEKEE wa KASKAZINI ni lini kina DIWANI wa HUKO KAGERA????
 
Si tu viroba huwa wanawalawiti kabisa hawa machoko wa Kino.
aaaaaah kumbe ndio maana akilizao ziko ivyo leo umenifungua nilikua nashindwa kuwaelewa maskini hawa ni wakuwasamee bure
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya CHADEMA amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.

anaitwa nani? Nini kimefanya aue. Ama anasingiziwa? Si unajua mchezo wanaoufanya nyie emu
 
Haya sasa,
haya Ndio tunayoyaogopa,

[h=2]Diwani wa CCM kata ya Mgango Wandi Maguru anashikilwa na polisi kwa mauaji[/h]
Ndugu wanajamvi hawa CCM watatumaliza, Leo katika taarifa ya habari ITV Diwani wa kata ya Mgango WANDI MAGULU amekamatwa kwa kuwakata vichwa wakinamama wa BUTIAMA na kukimbia navyo.

SOURCE: ITV habari ya saa mbili usiku​
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya Chadema amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
Hiki Chama kina shida sana na waumini wake.

NA HUYU Hapa jee

[h=2]Diwani wa CCM kata ya Mgango Wandi Maguru anashikilwa na polisi kwa mauaji[/h]
Ndugu wanajamvi hawa CCM watatumaliza, Leo katika taarifa ya habari ITV Diwani wa kata ya Mgango WANDI MAGULU amekamatwa kwa kuwakata vichwa wakinamama wa BUTIAMA na kukimbia navyo.

SOURCE: ITV habari ya saa mbili usiku​
 
Toa ushabiki wako hapa, unalipwa shs. ngapi? Maana unachoeleza hakina uhusiano.

Lipi jema kwenu huyo USHINDI DAIMA ameeleza kilicho chake.
Lakini wewe unamcrash kuwa atoe ushabiki wake.
Pia inadhihirisha kuwa ninyi mnalipwa kutokana na ulichokiandika hapa.
 
Back
Top Bottom