Recent content by BULLDOZZER

  1. BULLDOZZER

    Mabomu ya Gongolamboto....Jeshi lilijua???!!!!!!

    ninaweza kukupa namba za simu za mtu ambaye kaka yake alimjulisha aondoe familia. sema kama uko tayari mkuu.
  2. BULLDOZZER

    Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    Yaani chuki inakufanya hata usijue unachoandika. vizuri tu kujipa sumu ufe ili usimuone kikwete. chuki ya Kijinga hiyo!
  3. BULLDOZZER

    Waumini wenu sio waadilifu! - Pinda

    Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa hahahahaha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! Kaka umesahau issue ya Mchungaji Mtikila na RA ????.Hata miaka miwili haijapita mzee. Halafu ni msikiti gani RA aliwahi kusaidia?? Tutajie japo hata msikiti mmoja tu na kiasi...
  4. BULLDOZZER

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Hivi Tar 19/02/2011 tulifanya nini??
  5. BULLDOZZER

    Kama waarabu wameweza, ni kitu gani kimetushinda sisi!?

    Kama ni kuandamana tuandamane kwa hili tukio la G/Mboto Kuna mtu amenitonya: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka...
  6. BULLDOZZER

    Waumini wenu sio waadilifu! - Pinda

    Mh. PINDA yupo sahihi kabisa: WATUHUMIWA KARIBU WOTE WA UFISADI NA UBADHIRIFU WA UMMA NI WAUMINI WA KANISA. NA WAMETOA MCHANGO MKUBWA KULIFIKISHA KANISA HAPO LILIPO. NDIO MAANA TUKAONA JINSI WALIVYOWAPOKEA BAADHI YA MAFISADI (EL) KISHUJAA(mou). Mkakati uliopo sasa ni kujisafisha - au kwa lugha...
  7. BULLDOZZER

    Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    Kwani wanapikwa chungu kimoja sasa? Asante kwa uelewa! sister Birigita: Hongera kwa kuwa na busara! Ni hazina. Na usiachie Chuki ika - overcome busara yako!
  8. BULLDOZZER

    Mabomu!!! Mficha kigonjwa kifo kitamuumbua.

    Na maradhi yenyewe ni haya. Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka...
  9. BULLDOZZER

    Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    kama hujui kazi ya Bulldozzer kawaulize wamachinga na wale waliojenga kandokando ya barabara.
  10. BULLDOZZER

    Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    We kenge kweli: Yaani unaona matukio halafu huna reflection?. Hivi unadhani matukio haya ni ya bahati mbaya?. Hivi unadhani yanayosemwa hayana ukweli?. Au yanawauma kwa sababu sasa mambo hadharani?. sio nyie mliokuwa mkiomba JK alipukiwe na bomu alipoenda kutembelea eneo la tukio pale gongo la...
  11. BULLDOZZER

    Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    Wadau wa JF, Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni. Huyu...
  12. BULLDOZZER

    Bunge Limehairishwa... Ni kipi cha maana kilichofanyika?

    ati nini? wawe na adabu sio?
  13. BULLDOZZER

    Mabomu Gongo la Mboto: Mwinyi asema hajiuzulu

    Tatizo ni lile jeshi ndani ya jeshi. Ingekuwa Waziri pale na Rais wake ni wenzetu yasingetokea haya. Hivyo Waziri kwa sasa hana sababu ya kujiuzulu ila akae pale na awaeleze watanzania mfumo "K" uliomo ndani ya jeshi. Ni ngumu pia maanake mzizi wake ni mgumu kuung'oa. Serikali ifike mahala itoe...
  14. BULLDOZZER

    Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

    Ugaidi upo. Tatizo tu ni kuwa waliofanya ugaidi sio magaidi a.k.a waislamu kama terrorist act 2002 inavyosema. Ugaidi huu ni wa lile Jeshi lililo ndani ya jeshi ambalo Serikali haijatolea ufafanuzi uwepo wake kama waraka wa waislamu ulivysema hapahapa JF.
Back
Top Bottom