Mabomu!!! Mficha kigonjwa kifo kitamuumbua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu!!! Mficha kigonjwa kifo kitamuumbua.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgen, Feb 19, 2011.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,151
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Wanangu kuna simulizi;
  Kuna mzee aliumia mguu.
  Ktk Kumtibu aliona awaeleze wazee wenzie tofauti na mguu ulio umia ili kukwepa maumivu ya kumchua.
  Hatima ya siri yake mguu ukaoza na umauti ukamfika.

  Haya ndio tunayo yashuhudia leo hapa kwetu.
  Kila changamoto inayo jitokeza ukiuliza viongozi utaambiwa hiyo ni siri,Haistahili muijue.

  Siri ikigundulika kwamba sio siri bali ni ufisadi.
  Hivyo basi dawa yake ni kunywa mlutulutu(Maamuzi magumu ya kumkoma nyani giladi) na mnaleta mlutulutu kauleta ili anywe mgonjwa apone.

  Kinacho tokea anakunywa kofelyn(kuunda tume za kisanii) kwa kuwa ni dawa tamu si chungu kama mlutulutu.
  Kumbe anajiandalia kifo kwa mkono na matendo yake

  OLE WENU KWAMBA MFICHA MARADHI;
  KIFO KITAMUUMBUA.
   
 2. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Na maradhi yenyewe ni haya.

  Kuna mtu kanijuvya ndani ya dakika kumi zilizopita: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni.
  Huyu jamaa nahifadhi jina lake ila ni mkristo. Nilimuuliza ikiwa amesalimika na tukio la mabomu kwa kuwa najua anaishi Gongo la mboto mwisho.

  Ndipo nilipokumbuka lile Tamko la waislam lililowahi kubandikwa hapa JF. Tujikumbushe!

  "(9) Papa John Paul II alipoitembelea Tanzania mwaka 1990, Kanisa Katoliki lilimkabidhi Ripoti yenye anwani: Activities of the Church in Tanzania. Katika ripoti yake hiyo Kanisa Katoliki limetaja kuwapo kwa Tume ya Majeshi ya Kivita [Commission of Armed Forces] ndani ya Kanisa hilo. Tangu wakati huo hadi leo Waislamu wameitaka serikali iwaondoshe hofu kwa kuweka wazi kazi za Tume hiyo ya Majeshi ya Kivita ndani ya Kanisa. Serikali haijajibu na wala haijajishughulisha na taarifa nzito kama hizo. Hatujui kama Tume hiyo ya Majeshi ya kivita inafanya kazi ndani ya Jeshi la Wananchi au nje ya jeshi hilo. Lakini kwa muktadha wa hali ya uhasama wa serikali na hasa wa Maaskofu dhidi ya Waislamu wanaowahesabu kuwa ni maadui zao, si vigumu kukisia kwa nini Kanisa Katoliki limeunda Tume ya Majeshi ya Kivita. Lakini serikali ambayo haishughulishwi kabisa na Tume ya Majeshi ya Kivita ya Wakatoliki imekuwa na tabia ya kuwakamata na kuwatia ndani Waislamu kwa kesi za kuwabambikia zisizokuwa na kichwa wala miguu. Lakini propaganda zinasema Tanzania ni nchi moja yenye katiba inayolinda haki za watu wote. Mwenye mach haambiwi tazama.

  "Lililo baya zaidi maaskofu walioshindwa kuwashawishi wananchi waipokee na kukubali Ilani yao, wamekuja na kampeni za kuchochea uasi kwa serikali iliyopo madarakani. Lakini pamoja na hali hiyo, viongozi wa CCM na serikali wamebaki wanagwaya. Hakuna aliyeweza kupata ujasiri wa kukemea hali hii. Kinyume chake Waziri Mkuu na Mzee John Samwel Malecela wanahangaika huku na kule wakiwapigia magoti maaskofu hao na kuwakemea wanaothubutu kuwakosoa.

  Hali kama hii ni hatari kwa usalama na utulivu wa nchi. Ni hali ya kuchochea udini na kuweka ombwe la uongozi wa kisiasa ambao utazua balaa. Waislamu hatuwezi kukubali hali hii. Kwa hiyo, ama CCM na serikali vitekeleze wajibu wao wa kuongoza au kama wanaona hawawezi, basi waseme rasmi ili Maaskofu na wengine wenye Ilani zao za uchaguzi waingie tena ulingoni kuomba ridhaa ya Watanzania kuongoza nchi kuliko kuishi katika hiki kiini macho ambapo maaskofu na mawakala wao ndani ya serikali wameachwa waikokote nchi wanakotaka".

  Maoni yangu: Bado tukumbuke kuwa kuna misemo pia imewahi kusemwa kuwa kuanzia sasa Tanzania haitatawaliki tena.

  ANAGALIZO:
  TUNATAKA SERIKALI ITOE TAMKO JUU YA KUWEPO KWA "TUME YA MAJESHI YA KIVITA" IKIAINISHA KAZI YAKE, NA UHALALI WAKE.

  Hatuwezi kukubali kufa na kuteseka kwa tamaa za watu wachache wenye uchu na madaraka kwa kutumia UDINI. Watu wasiothamini utu wa Mtu na thamani ya damu ya Watanzania.
   
 3. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,151
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Mwanangu wanaotesa ni waislamu, wakristo, na wapagani ima wanaoteseka hivyo hivyo ni hao hao
  Adui zetu wakubwa ambao sasa inakula kwetu ni hawa na hatudanganyiki tena.na bla bla za kifisadi.
  1 UJINGA;Tumefikia kwa ujinga wetu leo tunanyoosheana
  vidole kwa dini kabila jinsia
  nk nk. kwamba hawa wanatesa sisi tunateseka.
  2 UFISADI;Sasa ukifanya kazi
  kiadilifu unaitwa ****.
  nchi hii. bali fisadi anaheshi
  mika mwana.
  hadi fisadi ananadiwa jukwaani kwamba panga la zamani makali ni yale wale,
  wananchi wakagundua hiyo
  istizai wakampiga chini
  ona hilo ndugu yangu
  nk nk nk!
  3 UMASKINI;Umefanya wengi kuwa vipaza sauti vya
  MAFISADI Wewe nina hakika
  unafahamu huo unafiki
  maamuzi na maelekezo
  yao dhahiri kweupe walitakalo huwa hapa tz
  nimeamini tumbo linaponza
  makalio.
  4 MARADHI Mtanzania anakufa
  kwa kukosa dawa kwa maradhi yanayotibika
  kitanda kimoja hadi wagonjwa watatu wanalala.
  wakati M/Mungu
  ametujaalia maliasili nyingi
  mno. hakika kesho tutatolea
  HESABU
  NB:Kizazi kijacho watafukua
  makaburi wapime mafuu ya
  ya vichwa kama tulikuwa w
  anadamu au mithili ya ma
  nyani pale watakapo shin
  dwa buku kufukia mashimo
  ambayo wageni wamechi
  mba madini na kuondoka.

  TUBADILIKE TULENGE SHABAHA KWA MAADUI HUSIKA.
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ngoja niyatafiti haya, mambo mazito haya mh!
   
Loading...