Mabomu Gongo la Mboto: Mwinyi asema hajiuzulu

Huyu Hussein Mwinyi amezoea kujificha katika hilo koti la tume. Ikumbukwe wakati wa mabomu ya mbagala alituambia hivyo hivyo "Eti tume iliyoundwa ikithibitisha kuwepo kwa uzembe basi nitajihudhuru!"

Majibu ya tume mpaka leo wananchi hatuyajui?

Je waziri haoni kuwa mabomu ya kambi ya Changanyikeni/kunduchi nayo yatalipuka kabla tume haijatoa majibu ya gomz?

I will accept nothing less than Resignation letters from Minister and TPDF top officials!
 
Jamaa anang'ang'ania nini? Na tume ya nini wakati inaonyesha kabisa kuwa kuna uzembe ulifanyika. Huyu jamaa ana matatizo sana, milipuko yote imetokea chini yake halafu anasema eti tusubiri tume....

Mimi naona Dr Mwinyi hana matatizo bali system nzima ya uongozi ina kifafa cha uongozi.
 
baba yake alijiuzuru kwa kufa mtu mmoja tu. yeye ni multitude of people, nashindwa kuelewa sijui anaogopa njaa akiwajibika. Ila si medical doctor.....lu kazi ipo tz au ngozi nyeusi ndo tatizo nin?
 
Mimi naona Dr Mwinyi hana matatizo bali system nzima ya uongozi ina kifafa cha uongozi.

Tatizo ni lile jeshi ndani ya jeshi. Ingekuwa Waziri pale na Rais wake ni wenzetu yasingetokea haya. Hivyo Waziri kwa sasa hana sababu ya kujiuzulu ila akae pale na awaeleze watanzania mfumo "K" uliomo ndani ya jeshi. Ni ngumu pia maanake mzizi wake ni mgumu kuung'oa. Serikali ifike mahala itoe majibu ya hilo jeshi ndani ya jeshi ni la nini na kazi yake ni nini!

Hamkusoma lile tamko la waislam pale Diamond Jubilee ambalo copy yake iliwekwa humu JF?
 
Swala la HUSSEIN MWINYI kujiuzulu ni ndoto, labda NGUVU YA UMMA IFANYE KAZI..tatizo kubwa ni kwamba it is a chain of kulipana fadhila na kupeana uongozi kiswahiba.

If you all know kuwa Mzee Ruksa ndo aliyemfikisha mkwere hapo alipo, and mkwere kwa kulipa fadhila, he has put HUSSEIN in line for presidency in 2015, do you realy think kuna kujiuzulu mtu hapo????

Hii nchi haitakaa ibadilike unless we stand up and act!
 
Tatizo ni lile jeshi ndani ya jeshi. Ingekuwa Waziri pale na Rais wake ni wenzetu yasingetokea haya. Hivyo Waziri kwa sasa hana sababu ya kujiuzulu ila akae pale na awaeleze watanzania mfumo "K" uliomo ndani ya jeshi. Ni ngumu pia maanake mzizi wake ni mgumu kuung'oa. Serikali ifike mahala itoe majibu ya hilo jeshi ndani ya jeshi ni la nini na kazi yake ni nini!

Hamkusoma lile tamko la waislam pale Diamond Jubilee ambalo copy yake iliwekwa humu JF?
Wewe nawe hekhe, bulldozzer kweli kweli.
 
Dr.Mwinyi ni daktari mzuri sana wa binadamu.
Kwanini asijiuzulu tuu akaenda kutibia raia wake, angeokoa maisha ya Watanzania wengi sana na Mungu angemlipa kuliko kuhusika na kashfa ya vifo vingi namna hii.
 
Kwa miongo miwili iliyopita, kuna Waziri yeyote aliyewahi "kuwajibika" kwa namna yoyote nchini Tanzania?
 
Jamani sote ni mashahidi, wabunge wote, ukiondoa CHADEMA wana misconcieve maana halisi ya AMANI, yaani ukizungumzia maandamano ili serikali iwajibike, watakwambia unataka kuhatarisha amani ambayo mwalimu ametuachia, wanashindwa kujua kuwa amani ya mwalim ilikua na HAKI, Enzi za Mwalim wao wenyewe bila hata kuambiwa wangeachia madaraka, lakini kwa huyu sijui mnamwita mkweli, hakuna Haki na amani ya uwongo inaendelea. Kila kitu tume jamani hizi gharama za tume si zingeelekezwa katika maendeleo ya jamii, Maana hakuna jipya katika tume hizi, na je zinawajibika kwa nani?
 
Swala la HUSSEIN MWINYI kujiuzulu ni ndoto, labda NGUVU YA UMMA IFANYE KAZI..tatizo kubwa ni kwamba it is a chain of kulipana fadhila na kupeana uongozi kiswahiba.

If you all know kuwa Mzee Ruksa ndo aliyemfikisha mkwere hapo alipo, and mkwere kwa kulipa fadhila, he has put HUSSEIN in line for presidency in 2015, do you realy think kuna kujiuzulu mtu hapo????

Hii nchi haitakaa ibadilike unless we stand up and act!

Pamoja na yote hapo kwenye red nakataa kata kata.
As utaratibu wa CCM hupokezana nafasi ya urais kwa kuzingatia dini, term hii akiwa mkristo, term ijayo anakuwa Mwislamu na kuendelea.
So nafasi ya Dr.Mwinyi labda 2025.
 
Ni mzembe kweli pamoja na timu yake nzima kwani yaliyotokea Mbagala mbona mpaka leo kizungumkuti, kama sio uzembe wangekuchukua tahadhari na hili la Gongo la Mboto lisingetokea inaonyesha ni jinsi gani wanavyojua kupuuzia mambo hatarishi. kiujumla wizara imeshamshinda kwa hio AJIUZULU na hio wizara ishikwe na mtu makini!
 
[FONT=Courier New, monospace]It's time to call that big shot at the MOD[/FONT] elites
[FONT=Courier New, monospace]
[/FONT]
[FONT=Courier New, monospace] Dear Hon Alhaj Dr (Med.) Mwinyi,[/FONT]​
[FONT=Courier New, monospace]Thank you for your service to this slumping nation of ours! on your years of service at Ministry of Defence (MOD) this happened!

Numerous unabated corruption or cover up practices (include Meremeta, Mwananchi, right-off but costly procurement of radar, helicopters, ammunitions and trucks and so many others that our government has been compromisingly associate the Army with such serious embezzlements of our nation's cake under the cover "Unquestionable matters of National Security")at your Ministry and on your watch and without a sensible explanation but spirited fights to silence a debate on the due wherever an MP (opposition ofcourse!!) or a media house tries to raise the specific issues in our law chamber or general public! The tendency keeps us wondering what's going on in our Defence Ministry that ovesees our forces? Do you have any "sultanate legitimacy" to remain in power even after over 50 lost souls (first in Mbagala (26) and now in Gongo La Mboto (>30) and the exact figure remains a mystery so far)? By the way what have you so far accomplished as the top guy at the Ministry of Defence? Is it the involvement of our "used to be loved but turned out to be business ventures now (the loss making Construction (JKT), Pharmaceuticals, Truck Assembling & Textile (JWTZ) companies) that act acts as channels to siphon money and creates classes within the Army as only the top cardes benefit and not the juniors while inflicting serious burden to we tax payers as the "white elephant" projects are never profitable but secretly run (no account book auditing made public so far)while continuing to suckle heavily on GOT coffers due to their ever growing subsidies (hidden ofcourse)! Is it the massive abuse of power and finance that current prevails in once a decent Army?

Pls get the F** out of that position! Go back to your dad and suckle from him (as i hope he did not resigned out of hypocrisy in the eyes of Mwl when the Shinyanga deaths occurred for him not to advice you to do so now!). Tanzania needs good leadership and not the obsessed sultan like son of a former President that has failed to do anything constructive in our army except offering a buffer for impunity! If at all you were worthing that post you would have conducted an immediate Actionplan after the Mbagala incidence BUT you demonstrated negligence of Highest Order that resulted into another same serious casualities culminated with loss of lives and properties apart from a general fact that largely expose this nation in the state of Insecurity (just wondering what can you do if an enemy invades Tanzania today..)! That's do inspection excercise to all ammunitions stores around the country to assess the risks of the vice to repeat! but guess what nothing happened, and as it looks the risk is high in any of our ammunition depots around the country currently! What else do you need to hear that "the shoes are to big to fit your feet"? Pls resign nobody has more legitimacy to grip on power than accountability when people continue to die with no genuine technical Report issued so far to explain why the disaster happened for another similar incidence at Mbagala! Putting aside the underlying fact
that poor handling of the situation thereafter as no enough compensation was issued to family members that lost their loved ones and people affected (two years down the line people still live under tents)!

Your continuing stay in power means the over 50 poor souls' blood means nothing to your obsession with power.

NB: Chief of staff Gen. Mwamunyange has to do the same also!


Concerned Citizen[/FONT]​
 
Dr.Hussein-Mwinyi.jpg


Kama kawaida maneno mingi tuuuu
 
ingawa unahasira nimekusoma ..... kazi kwako Dr. Hussein Mwinyi .... na sijui ni udaktari wa taaluma ya tiba au PHD
 
duh,juzi Pinda,mara JK mara Makinda,mara Ngeleja,nafikiri wangetoka wote tu??
 
Kama suala la kujiuzuru Mwinyi lingekuwepo basi lingefanyika jana, au leo angekuwa anapigwa chini na Mkwere... Lakini gharama za uswahiba tunabeba sisi watanzania. Tume itaangalia upepo ikiona tumeishasahau inakuja na mapendekezo ya kizushi na jamaa anabakia. Au huenda wakati huo mkwere ameishabadili baraza la mawaziri mnakosa wa kumlilia. Ila mimi namlilia zaidi Shimbo aliahidi kulinda damu za waTz kwa gharama zozote wakati wa uchaguzi
 
Dear Hon Alhaji Dr (Med.) Mwinyi,

Thank you for your service to this slumping nation of ours! on your years of service at Ministry of Defence (MOD) this happened!

Numerous unabated corruption practices (including Meremeta, right off procument of helicopters, ammunitions and trucks and so many others) that have ended up being silenced wherever an MP tries to raise the issue in our law chamber! That keeps us wondering what's going on in our defense Ministry together with our forces? Do you have a legitimacy to remain in power even after over 50 lost souls first in Mbagala (26) and now in Gongo La Mboto (>50 and the exact figure a mystery)! What have you so far accomplished as the top guy at the Minsitry of Defence? Is it the involvement of our used to be beloved in business now (construction, pharmaceuticals, textile) that creates classes as it is only the top cardes benefit and not the juniors? Is it the massive abuse of power and finances that current prevails in once a respected army?

Pls get the F** out of that position! Go back to your dad and suckle from him (as i hope he did not resigned out of hypocrisy in the eyes of Mwl when the Shinyanga deaths occurred for him not to advice you to do so now), Tanzania needs good leadership and not the obsessed son of a former President that has failed to do anything constructive in our army except impunity! Your continuing existence in power means the over 50 poor souls' blood mean nothing to your obsession of power.

NB: Mwamunyange has also to do the same!


Yours

Geza Ulole

Nakuunga mkono mkuu ila mie ningelipendekeza wote mpaka mkuu wa nchi wajiuzulu
 
Itashangaza kama hatajiuzulu. Hakuchukua hatua baada ya mlipuko wa kwanza na bado sehemu za kuhifadhia mabomu zimekuwa karibu na wananchi. Makombora ya hadi 10 km kukaa kwenye makazi ya watu na ilhali tulipata tatizo kubwa kule mbagala ni irresponsibility ya waziri na maofisa wa juu wa jeshi.


Tume iliyoundwa kipindi kile haikutoa majibu yake.Kama waliona mabomu yapo expired au joto kwa nini measures hazikuchukuliwa kwa wakati sahihi ? huu si uzembe wa waziri husika ?

He must resign.
 
Back
Top Bottom