Watu wengi hawapendi kusoma kidhungu ukipata nafasi tafadhali iweke kwa kiswahili kwani itatusaidia tulio wengi.imetulia sana TB Parents hi ni kweli tupu
Kongosho;SO FAR MI NNACHOJUA NDOA NI NJEMA NA NI JAMBO JEMA KUFUNGA NDOA TATIZO SHETANI AMEDANGANYA WENGI KWA KASI ALIYOIANZISHA YA KUVURUGA WANANDOA HEBU CHUKULIA MFANO WA POST..KWELI NI WACHACHE SANA WANAOHESHIMU VIAPO WALIVYOKULA MBELE YA HADHARA..SHETANI AMEWAFANYA WASAHAU NA KUWAONDOLEA...
Amoeba youv said it,sio lazima iwe buku tano halisi nadhani yeye ametumia hiyo kama mfano tu kwa yule ambaye anacho kiasi kidogo kwa kuanzia na sio wale wenzio wanaosemaga ana mil 100 afanye biashara gani?(who knows km kweli anayo mill mia kweli au ni maneno tu?) sasa hali halisi ya kibongo...
Safi sana mkuu,sasa mkuranga kubwa lakini naomba maelekezo zaidi niko mbioni soon ntamaliza ujenzi wa banda langu nipate japo mmoja wa kuanzia aka newmzalendo style tuko wengi ,...
Mkuu hujui kuwa mbuyu ulianza kama mchicha? vijana songeni mbele heshimu kile ulicho nacho (They say negative thinker see's difficulty in every opportunity ,positive thinker see opportunity in every difficulty) guys lets think positive
Habarini ndugu zangu? naomba mawazo yenu naamini wapo ambao wana uelewa mkubwa kuhusu wapi ntapata fancing wire kwa bundle na bei yake na heka moja inatumia kiasi cha bundle ngapi .nina kashamba kangu (mlandizi - pwani) nahitaji kuzungushia kwaajili ya usalama.
Tafadhali naomba michango kwa...
% 99 ya nyumba ndogo zinaleta full nuksi kwenye maisha yetu imenitokea na wengine nawafahamu yamewakuta .Mke wa ndoa ni full baraka.Mnatumiwa na shetani basi tu hamjijui
We hata baiskeli unayo kweli? watu wengi wanaopenda kujishow off ni empty kabisa...kakuambia nani kuwa ukipenda wewe prado basi kila mtu anapenda kila mtu ana choice yake mkuu acha hizoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.