Fancing wire wapi zinapatikana kwa bei nzuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fancing wire wapi zinapatikana kwa bei nzuri?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bulldoza, Feb 6, 2012.

 1. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini ndugu zangu? naomba mawazo yenu naamini wapo ambao wana uelewa mkubwa kuhusu wapi ntapata fancing wire kwa bundle na bei yake na heka moja inatumia kiasi cha bundle ngapi .nina kashamba kangu (mlandizi - pwani) nahitaji kuzungushia kwaajili ya usalama.
  Tafadhali naomba michango kwa wadau.Naamini JF ni kila kitu,asanteni
   
 2. y

  ymalago Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni pm mkuu
   
 3. s

  sithole JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mkuu fens waya zipo za 2mm na 2.5mm,pia zipo fake!uwe makini unaeza ingia chaka!unahitaji za mm ngapi?moja inakua na urefu wa mita 15!unataka ununulie huku dar then upeleke mlandiz,au unataka uzipate huko huko?nijuze nikupe bei mkuu.
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,134
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  Wire aina gani? Zipo Barbed wire,chainlink wire , hexagonal wire net .
   
 5. i

  isele Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nenda KAMAKA,
  Piga 2448781 kwa maulizo na walipo.
  Ni mahali wanauza jumla na rejareja lipo mandela road, mbele ya tabata junction kuelekea ubungo.
   
 6. k

  kgrjohn Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I think that's right!
   
 7. g

  gogozito Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF tusiwe tunakimbilia kuomba mtu aku PM, toa ushauri na wengine waone then omba aku PM. Huu ni mtandao wa kuelimishana
   
Loading...