Je mtoto ulie nae ni wako??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Yaaminika asilimia 44.77 ya wanandoa wanatunza watoto si wao..pengine wengi wameamua kukaa kimya sababu mateso yake ni bora waendelee kulea hivyo hviyo watoto wa wenzao..je wewe unalea wako ??
Majibu ya hekima ni busara kwa anaesubiri ndoa
 
usiwakatishe tamaa hao wanaosuburi kuishi maisha ya ndoa. hiyo huwa ni siri ya moyo. hizo 44.77asilimia umezitoa ktk chanzo kipi..?
 
Duh!!Hili kweli kabisa mtoto anazaliwa unaanza kulazimishwa eti masikio kama yako,mara nywele,mara kucha kumbe wapi unamlelea muuza duka.DNA check ndio mpango mzima.
 
As long as huyo mtoto yupo ndani ya himaya yangu ni wa kwangu, hata kama ikigundulika miaka 15 baadae si wa kwangu kimsingi nitakuwa tayari nimeshakuwa baba yake.

Mkuu nipe Maana ya kuitwa Baba??
ni lazima awe mtoto wako??mi nina katoto cha jiran kananiita baba mdogo sijui nakosea kujibu..msaada tafadhali
 
mtoto wangu anavyonipenda na mm ninavyompenda wala siwezi anza kufikiria vitu kama hivyo..Nikapime then what??? sometimes sio vizuri kutafuta matatizo, kama kuna sababu ya kufanya hivyo nitafanya ila kwasasa hapana......
 
nchi ya kusadikikaaa...fikiraa za kuumiza moyo na kupoteza matumaini.
 
Yaaminika asilimia 44.77 ya wanandoa wanatunza watoto si wao..pengine wengi wameamua kukaa kimya sababu mateso yake ni bora waendelee kulea hivyo hviyo watoto wa wenzao..je wewe unalea wako ??
Majibu ya hekima ni busara kwa anaesubiri ndoa

Achilia mbali hao ambao wamezaliwa ndani ya nyumba yangu. Kwangu mimi hata nikioa mke ana mtoto tayari na mke akawa tayari nimuasili (adopt) kama mwanangu wa kuzaa na tukakamilisha taratibu; kuanzia hapo anakuwa ni wa kwangu kwa asilimia 100% sawa kabisa na wale ambao wamezaliwa/watazaliwa ndani ya nyumba yangu. DNA ni kitu cha mwisho kabisa kwenye akili yangu na sitarajii kuwa kuna siku nitapima hiyo kitu.
 
wa kwangu mmoja siyo wa mle ndani
najipanga nimwambie ili amfuate babake yuko huko
bara.
 
fp
Mume yupi??hata huyo wa nje kama amepata nafasi ya kuingiza nae ni mume mwenza tueleze zaidi
 
Mambo mengine si ya kuumiza hata kichwa,
kwani kama mke ni wangu so watoto wawe wa nani?
"JAMANI NDOA NI IMANI "
 
Back
Top Bottom