Recent content by bullbar

  1. bullbar

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Askari 6 wapata ajali wakiwa wanakwenda kuchukua mahabusu

    Da Kwa hiyo hizo mali za chama hakuna hata iliyo rudisha mpira kwa kipa?
  2. bullbar

    JamiiForums Tanzania Heche: Kama hawataki demokrasia na sisi tutaenda kule kuwafungia milija ili wawe na njaa hapa ndani

    Dah! Kwahiyo nawew mama yako alipewa hongera kwa kupata mtoto..
  3. bullbar

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

    Wanao tumia ubabe ni hao wanao tumia utumbo mpana kufikiri..mtu kosa la gari unapinguziwa points kwenye leseni yako dereva sasa hiyo akili
  4. bullbar

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Mwambieni tumbotumbo stendi ya Mbezi mabasi hayatoshi na mengine yameshindwa kuingia hakuna nafasi..madhara ya kutumia utumbo mpana kufikiri ndio haya sasa
  5. bullbar

    JamiiForums Tanzania Kongole Khalifa wa The Chanzo

    Haya mtekeni na huyu bàsi roho zenu zifurahi
  6. bullbar

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Si ulipata taarifa juzi boti ya kwenda Pemba imeua kutokana na pepo za kusi kuchachamaa...
  7. bullbar

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Piga nyama chini huna mke hapo...
  8. bullbar

    JamiiForums Tanzania Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Leta mzunguko wake na siku uliopiga mshindo wazee wa nongwa tukokotoe
  9. bullbar

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

    Tema mate chini...
  10. bullbar

    JamiiForums Tanzania Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

    Aisee watu mmejipata..yani mchana huu mnakunywa chai ya mapera
  11. bullbar

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Sasa hapo unataka ushauri au pole...
  12. bullbar

    JamiiForums Tanzania Mke wa nabii azimia na kukimbizwa kwa mganga

    Ehh Doumbiya kipa katoka funga basi, nafasi ndio hii baba..tuko nyuma yako baba
  13. bullbar

    JamiiForums Tanzania Jiji limekuwa safi kabisa

    Kwahiyo nawew ulipo zaliwa mama yako alipewa hongera na pongezi?
Back
Top Bottom