Good old days

Good old days

Ilaa

Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kgšŸ¤—šŸ¤—

Sikuizi napambana walau nipungue nifike Tu 70kg (ndio imekuwa my dream weight 🄺🄺).. Yaani nacheza kwenye 86, 87 nikizubaa kidogo Tu 90 hii Hapa 😩😩

Kuna kipindi nilijipangia ratiba nzuri Tu nikawa nafanya mazoezi kila siku, baadhi ya vyakula nikaacha na fasting siku2 kila wiki,. Ila ukipima unakuta ndio Kwanza umeongezeka kila Mbili au tatu badala ya kupungua... I gave up

Kuna nguo zangu nilikua navaa zamani saizi naziangalia Tu nabaki kutikisa kichwa kwa huzuni,.

Watu sasa wakianza kukwambia "umenenepaaaa" hata kujipost nowadays naogopa ikibidi sana napost pictures za zamani kwasabu watu lazima wanotice and I can't take it as a compliment 😭😭

šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™Œ
Sisi wenye kg 56 tusemeje
 
Watu tuna pima uzito mpaka mzani unaandika to be continued...
 
Hizo habari za kutaka kupungua zitajilikana baadae ila kwa sasa nataka nipate mwili
Nakuhurumia sana mwili unaweza kuja ukauchukia mimi nilikua na kg 102
Niliteseka kupungua sana now nipo 80na ushee na bado natamani kupungua zaidi

Ila nitakupa muongozo šŸ˜…
 
Nitumie Soft copy ya kitabu unachopenda sana na mimi nitakupa muongozo hakuna cha bure mkuu
You got it. Ushindwe mwenyewe kusoma kipo hapa hapa jf nilikianzishia uzi
 
Asante 😊nitapita hukošŸ™
 
Badili menu yako, punguza kula bites, vitu vya sukari sana na vya wanga.

Mazoezi pia ni muhimu hata kama kg zinazidi. Yanasaidia kukufanya uwe mwepesi hata kama uzito ni mkubwa.

Nashukuru mwili wangu unapokea mabadiliko chap nikifanya mazoezi ndani ya mwezi tu naona mabadiliko makubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom