Kwanini unamng'ang'ania mpenzi aliyekuacha?

Kwanini unamng'ang'ania mpenzi aliyekuacha?

Invyolata mbona hata mimi nimepiga pale? Najua kilichokuchanganya zaidi ni ile rangi tu 😀
Wewe utakua Umechanganya mafile,huyu namna nampeleka najua hata amekunywa maji saa ngapi.

So atakuwa invyolata model ya tofauti na yangu. Niambie huyo invyolata uliyemla anatokea pande zipi Moshi,na amesoma chuo gani?
 
Dah! hii ni copy and paste ya babe wangu wa zamani SweetyCandy! Baada ya kunimwaga, nimebakia kuwa mlevi wa kutupwa kutokana tu na maumivu mengi moyoni.

Mimi sasa hivi nipo single 💔
Siku si nyingi nitakuja na uzi wa kutafuta mwanamke mwenye umbo kama hili la SweetyCandy
Nimechoka kula kuku za kilingeni halafu nakuvumilia unaleta roho mbaya unamtengaje shemeji unajipata kweli??
Toa uzi wa kinafki na huku umjengea ephen_ nyumba kali unadaiwa mkopo
 
Naona leo upo mwezi mchanga kama kawaida yako
Si kweli jikumbushie mafaili ya mwaka jana ulimwambia babu naomba hela ya kununua nondoo ukasema ni laki 3 so usijifanye umesahau .
Mtendewa anakumbuka .
 
Back
Top Bottom