Hili suala nimelishuhudia na nimewahi kulifikiria pia.
yan unakuta mtoto mdogo mnaishi nyumba moja lakini hakusalimii. Wakati mwingine unamtembelea mtu nyumbani kwake unafika pale watoto hawakusalimii, wanakutizama tu.
Wazazi fundisheni watoto nidhamu, hata kama hasalimii njiani shauri ya watu...
Unapuuza elimu kubwa katika muktadha wa ajira pekee.
ulipaswa usifie veta bila kupuuza elimu kubwa.
Kokote kule duniani elimu unayoipuuza ndio ya muhimu kuliko unayoitaja wewe.
Veta wako vizuri wanaandaa artisans wazuri ila maisha yana vitu vingi sana acha kuwa general kwa kujibana kwenye eneo dogo
Unasema UDSM ilikuwa zamani sasa limebaki jina tu, eb tueleze hao unaosema wanatukanwa pumbavu na rais walisoma UDSM ipi, je ni hii unayoisema imebaki jina au ni ile iliyotengeneza jina. Mi naona kusema UDSM imebaki jina kwa kutumia mfano wa Kabudi ambaye kasoma pale UDSM ikiwa hot zaidi ya sasa...
Tatizo sio kukanyaga chuo kikuu cha Tanzania ama la, Suala la mtu kuwa millionaire sio la kujadiliwa kwa point ya chuo. tunao watanzania wengi tu ambao hawajakanyaga vyuo vya Tanzania na sio mamilionaire, ingekuwa kusoma huko walikosoma kina Mengi na wengine ndio sababu pekee iliyowafanya wawe...
Mitandao ya kijamii hasa hasa ndio imewafanya watu kuwa watumwa wa simu zao, ni wakati sasa wa kuweka kwenye mitaala kuhusu matumizi chanya ya simu na mitandao ya kijamii. Jamii inaangamia, tatizo linazidi kuwa kubwa kila kukicha. Leo hii mtu hahitaji kuzungumza lolote na mtu wanayesafiri naye...
nilipata shida ila kwa sasa nimeshazoea kabisa na niko comfortable na kozi ninayosoma na ndio naelekea kumaliza sasa
nilifeel bad mwanzo ila kwa sasa niko vizur i dont feel bad at all
UDSM is the best university in TANZANIA
and it is among the best universities in Africa
mtu akikushauri kisa ana chuki na UDSM utapotea
na wengi wanaochukia UDSM ni waliokosa nafasi hiyo ya kusoma pale japo walihitaji
anayesema UDSM ni bora sio walimu wala wafanyakazi wa UDSM
Namaliza UDSM is...
kwa kuwa mwaka huu maombi yatafanyika chuoni moja kwa moja kuna uwezekano gharama zisifanane kutoka chuo kimoja hadi kingine hivyo basi jaribu kutembelea page za vyuo unavyovihitaji ili uweze kujua gharama
kwa mwaka jana maombi yalikuwa direct kwa TCU na gharama ilikuwa Tshs 50,000/= na ulikuwa...
ndio hivyo kijana
nilikosa pia kozi hio japo niliitaka
watu 25 waliochaguliwa kwenye kozi hiyo walinizid point moja tu
na wengine waliosalia walinizid alama 15 walinizid point mbili
yupo rafik yang aliyekuwa na alama sawa na hao 25 na sio yeye tu na wengine pia ila wakapnzwa na herufi za mwanzo...
ufaulu wako ni mzuri.
hongera sana
ila tu kumbuka kama una CDC kuna watu hata zaidi ya mia wenye CCC wenye lengo kama lako na utaratibu wa chuo ulivyo huwez kupata nafasi kama mtu mwingine ameomba nafasi unayoitaka na amekuzid matokeo
kozi hiyo kwa nchi hii ipo COET-UDSM pekee na admission...
Jitupe tu kijana maana almost every company and organizations zinakuwa na mtu wa internation relations
Pia organization za umoja wa mataifa kama UNICEF, UNDP,UNHCR zinafanya kazi na watu hawa pia
Lakini kumbuka kunaweza kukawa na nafasi inayohitaji mtu wa internation relation lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.