Recent content by bubo

  1. B

    Zoezi la Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa: Waziri Simbachawene asema NIDA wanafanya kazi, tatizo lipo kwenye mtambo unaozalisha Vitambulisho vichache

    Sio vitambulisho vya NIDA Ni vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na NIDA rekebisha kichwa cha habari.
  2. B

    Kwanini kila tukinunua umeme na maji tunakatwa kiasi fulani kwa ajili ya Taasisi nyingine za Serikali?

    EWURA ni regulatory Authority wanaunganishwa wote wanaofanya kazi za ivyo? Zinakuwa ni departmets tofauti Ila Taasisi ni moja!
  3. B

    Kwanini kila tukinunua umeme na maji tunakatwa kiasi fulani kwa ajili ya Taasisi nyingine za Serikali?

    Heri ya Mwaka mpya kwa wote hapa. Hoja yangu ni moja tuu kwa nini kila tukinunua umeme na maji tunakatwa percentage flani kwa ajili ya Taasisi zingine za Serikali? madhalan EWURA EWURA inafanya kazi gani mbona huduma na kiwango(quality) ya maji katika mamlaka nyingi za maji ni mbovu? Ni...
  4. B

    Ushauri wa Bure kwa Director Modestus Francis Kipilimba

    Bado tuu sijaelewa kwa Karne hii tunazikaje watu bila kuwatambua (Mv Nyerere) Hivi hamna hata technolojia ndogo ya utambuzi jamani? That’s sad
  5. B

    Wanasheria wa kukodi waiponza TANESCO

    Nguo ya kuazima Haisitiri mat*** Nadhani Mitambo ya IPTL itaifishwe Hawawezi kuchukua mpunga mrefu vile kwenye ESCROW Acc. lakini sisi TZ tuendelee kudaiwa. Hao wazee watamalizia uzee wao Jela hakuna namna
  6. B

    Benki ya Standard Chartered kuimwagia Tanzania sh. Trilioni 3.3 kujenga reli ya kisasa-SGR

    Morogoro-Makutupora mbona mkataba na mkandarasi tulishasaini siku nyingi? Au tulisaini pasipokuwa na fweza,nimeuliza tuu kutaka kujua!!
  7. B

    How JPM misunderstood Political Mathematics and the Dynamics of Power

    Politics is always a tough subject.....that’s why one Donald Trumps tweet can plunder whole streen stock Market..anyway back to the topic A admire this administration but it lacks some sort of qualities in democracy including “uvumilivu Wa kisiasa,demokrasia imerudi tena nyuma kwa hii...
  8. B

    Matumizi madogo madogo kwa mpenzi wako

    Kwa nini upewe wakati una akili,miguu,mikono na una nguvu......hapa tuu ndo sielewagi wanawake! Inabidi upambane na hali yako ukikwama uombe akusaidie..
  9. B

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    It has been a while mimi kuingia na kukuta Resource full info nzuri hivi Asante sana mtoa mada,ni mimi nipo interested for sure...Labda kuelewa zaidi hii ,i need to do my homework first...
  10. B

    ACACIA: Tumekula hasara bilioni 40 kwa wiki mbili baada ya kuzuia kupeleka mchanga nje. Tutawafidia?

    This was the best move for our President JPM hiyo smelting plant waifunge hapa hapa Tanzania. Najua watasema return period ya hayo madini ardhini ni ndogo compared to cost za kuifunga but bado tunaendelea kufanya exploration maeneo mengine Tanzania tumebarikiwa sana na Madini so huo mtambo...
  11. B

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela

    Huyu ilitakiwa afanye mawasiliano ya ndani kwanza Wizara na wakubwa wengine wawe informed ndo aje kwetu wanahabari na jamii kwa ujumla Maana imeshaanza kuzua taharuki kumbe tuu ilikuwa ni viashiria vya Zika na Sio Zika yenyewe
  12. B

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Watu wanatamani Slope bado ;no more free rides....hiki ndo kipindi wale wanaofanya Kazi kweli watafanikiwa.
  13. B

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Wakuu ni IPhone 4S but haikubali kuhifadhi files za Audio ila kusikiliza nasikiliza vizuri tuu mfano nyimbo Hili ni tatizo Au ni setting na Kama Ni settings Au tatizo nifanyeje?
  14. B

    Wakaka naomba kujifunza haya kutoka kwenu..

    Kuna kitu kinaitwa obsession Especially kwa kinadada ambao hawako busy na kaZi zao.....Kama upo busy na kazi zako,biashara zako au mishe zingine hayo yanatoka wapi Maana asubuhi mnaagana kazi njema sawa Mchana ikifika unamuambia mwenzio lunch time Kama upo karibu na free tukakule wote baada...
  15. B

    Mikopo elimu ya juu: Serikali yaweka vikwazo kupunguza waombaji ili kukidhi ahadi ya 100%

    Kipindi CHA nyuma mpaka miaka ya 2000 mwanzoni tumeingia Chuo Kwa points Kama hizo cutoff points nakumbuka ilikuwa minimum D's Tena UD unapata nafasi Kwa mbinde Hayo mambo yalikuja kubadilikA wakati wa JK na mambo yake ya VODAFASTA kilichofanyika ni kurudisha Ule utaratibu wa mwanzo uliokuwa...
Back
Top Bottom