Recent content by Bry N

  1. Bry N

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Mimi ni fundi wa kupaua hiyo nyumba ina upana mkubwa afu ukizingatia wanaojenga wengi wanataka mapaa ya kuinuka bei huwa maelewano hyo hata mia 8 inaenda vizuri
  2. Bry N

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Naomba ajira tajiri
  3. Bry N

    JamiiForums Tanzania Duru: January Makamba kuteuliwa Balozi

    Yuda ndo nani huyo
  4. Bry N

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Ni wazo zuri sana ila ndo basi tena
  5. Bry N

    JamiiForums Tanzania We listen but we dont Judge!!!

    Don't judge
  6. Bry N

    JamiiForums Tanzania Nina mbinu bora kwa watu wa mikeka na ku bet

    Mwamba tusanue basi ni option ipi unayotumia, ukitoa nawe utabarikiwa mana ni sadaka hiyo
  7. Bry N

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mwalimu wa masomo ya sanaa dhidi ya mwalimu wa Sayansi

    Pole sana maisha yako tofauti sana Kila mtu na neema yake keep fighting me. Never give up
  8. Bry N

    JamiiForums Tanzania Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

    Shalom shalom mtumishi...
  9. Bry N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Embu katest mwenyewe utakuja kutupa mrejesho
  10. Bry N

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke yukoje

    Pole sana ushafunga pingu nae jikaze wanawake wengi wako hivyo, biblia ishakwanbia ishi nao kwa akili
  11. Bry N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Ukweli kwa Vijana Kuhusu Maisha

    Wacha niseoe na mwisho...kwanza
  12. Bry N

    JamiiForums Tanzania Honest and Religious woman needed for marriage

    Umewahia na vifungu kabisa kiukweli wife material wapo kanisa..
  13. Bry N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upishi mgahawani

    Hapa inabodo nofundishwe kupika mie nataka 10 tu kwa siku
  14. Bry N

    JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Hujafa hujaumbika jiangalie na wewe
  15. Bry N

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

    Watanzania sisi ni wagumu sana kulipa utafilisika bure tu
Back
Top Bottom