jamilah_ntarru
New Member
- Apr 25, 2025
- 3
- 5
Habari natafuta mpishi wa Kupika bites na Chakula cha mgahawani Malipo ni kwa siku 15,000. Namba sa Simu za mawasiliano ni 0754604976 au 0718044976
15,000 Ni kwa siku,wiki,mwezi?Habari natafuta mpishi wa Kupika bites na Chakula cha mgahawani Malipo ni kwa siku 15,000. Namba sa Simu za mawasiliano ni 0754604976 au 0718044976
Location 😋Habari natafuta mpishi wa Kupika bites na Chakula cha mgahawani Malipo ni kwa siku 15,000. Namba sa Simu za mawasiliano ni 0754604976 au 0718044976
TUNDUMAUpo wapi
Unaweza Kupika vitafunwa tofauti tofauti? Nitafute Nahitaji mtuHapa inabodo nofundishwe kupika mie nataka 10 tu kwa siku